ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Sio ChademaK
Kwaiyo kumwambia huyu dada kuwa ninayemke mzuri nalo ni tusi? Chadema mnashida sio bure,mlifikiri Makonda hakija Arusha atapoa na atakosa ushawishi, kumbe ndio amepata uhungwaji mkono kuliko.Lema kapotezwa mazima Sasahivi mnaanza kuokoteza vijimaneno ili Makonda haonekane mbaya.Makonda mwenyewe aliisha sema hata akikaa Arusha siku moja tu kwake inatosha hana cha kupoteza.
Wanaomchukia na kumsagia kunguni ni wa Chamani kwake 👁🙄
Wanamuogopa sana 👁