Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio Chadema
Wanaomchukia na kumsagia kunguni ni wa Chamani kwake 👁🙄

Wanamuogopa sana 👁
 
Nahitaji Mawasiliano ya Mkuu wa Mkoa tafadhali mwenye mawasiliano yake
Kuna bwana mmoja nilifanya nae biashara ya 38Milion mpk leo tokea 2022 hajanilipa. Nahitaji kuonana na mkuu wa mkoa maana sipati msaada mahakamani wala polisi
 
Umoja wa Wanawake CCM mmesikia? Yaani ni kama mnampigia kale ka mziki wakati anafanya massage.
 
Kiburi huzaa majuto,wanaokusifia Leo kesho hutowaona
Mwambie Samia aliyemteuwa, maana hakuna jipya hapo ndivyo alivyo Makonda ila Rasi wako mpendwa rais bora akaenda kumtoa huko aliko Makonda na kuwaletea.

Makonda piga kazi una baraka ya Mama samia ndio upo hapo ulipo.
 
Ni kweli hata alipoongoza kile kikosi cha kumshambulia Lissu mirisasi ya kutosha talanta yake ilijionyesha zaidi.
Ajabu Samia asiyemuuwaji kamteuwa mtu kama huyo ambaye ni muuwaji.
 
Walidhani makonda ni ndugai, dawa ya jeuri ni kiburi

Wana CCM wakiwa hawamtaki mtu wanamsakama

Ndugai na chongolo walipigiwa kelele wakaufyata
 
Hii bongo mkuu,ndio maana Mbowe pamoja na ulevi wake hadi wa kupanda jukwaani kalewa ila bado watu wanaona ana talanta ya uongozi na hana mbadala hapo Chadema.
Hayo ya ulevi wa Mbowe unayajua wewe na siyo sehemu ya mjadala huu.
 
Makonda tayari ni mdudu, ni mwanetu yule...piga kazi chali etuu usiwaze wadudu tuko nyuma Yako kukulinda"

Alisikika mdudu..
 
Hayo ya ulevi wa Mbowe unayajua wewe na siyo sehemu ya mjadala huu.
Ni sehemu ya mjadala maana ndio aina za viongozi wetu hao, kama Mbowe alipanda jukwaani huku kalewa hadi anaongea kipombe pombe ila watu hawakuona tatizo sasa kwa hali hiyo ndio tunajifanya wanafki kwa Makonda?
 
Makonda namuelewa Sana
Mtu anajibu maswali kuhusiana na namna Kodi za wananchi zimetumika kama vile hayuko kabisaa
Makonda kanyaga twende tumechelewa sana
 
Makonda namuelewa Sana
Mtu anajibu maswali kuhusiana na namna Kodi za wananchi zimetumika kama vile hayuko kabisaa
Makonda kanyaga twende tumechelewa sana
YESSS

Tunataka MA RC wote wawe na viburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…