Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa Rais anamlinganisha na yule mwanamama powerless?
Rais ana nguvu, Rais ana vyombo, Rais ana sababu za kutukanwa na ana means za kupambana na wanaomtukana.
Papa si dagaa, Yeye ameonea dagaa......na kifupi hana adabu Wala maadili kama kiongozi, pale jukwaani mambo ya nina mke mzuri yametokea wapi? Kwa mke gani hasa?

Hatutulii hadi atolewe ukuu wa mkoa aende akaangaliane na Huyo mke wake mzuri mbele huko.
 
Kama Wajeda wamemshangilia ndio uje umtoe we Bawacha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe endelea kupiga majungu.Kwani ajira ya mjinga ni majungu.
 
hahahahah wanyooshe kaka!mambo ya kubembelezana yamepitwa na wakati!NENDA CHUMA MAKONDA!!
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.

Wanyooshe kaka!watumishi wa serikalini wamezoea kubembelezana sana sana!wanapenda umwinyimwinyi!!
 
Kwaio makonda anajilinganisha na jemedari mkuu wa TANZANIA ๐Ÿ˜Š

Mimi pia namuunga mkono ndugu Paul makonda mzembe mmoja akemewe Tena kwa lugha yeyote Ile shenzi kabisa
 
Aache uwongo wake lini na wapi Rais ametukanwa? Alizusha kuwa kuna mawaziri wanamtukana Rais na akaahidi kuwataja baada ya siku tatu sasa mwezi wa pili huu hajawataja. Mzushi sana huyu mwizi wa vyeti
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema hatishiki na kauli zinazotolewa dhidi yake kuhusu kumdhalilisha mwanamke ambaye ni mtumishi wa Serikali wilayani Longido mkoani Arusha.

Amesema anasikia kuna watu wanahangaika na mitandao, kwa umri huo hawezi kutishika na kauli za watu kwani zinambembeleza kama mtu aliyeko kwenye chumba cha 'Massage' huku anapigiwa muziki mzuri kuendelea kupiga spana wazembe wote.

Amehoji walikuwa wapi wakati Rais Samia anadhalilishwa Mtandaoni, na leo kauli yake dhidi ya Mzembe na mla Rushwa mmoja inazua gumzo kubwa.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ