PreGE2025 Paul Makonda: Msigeuze makanisa kuwa viwanja vya siasa

PreGE2025 Paul Makonda: Msigeuze makanisa kuwa viwanja vya siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naunga mkono kauli ya RC Makonda.
Binafsi nimekerwa sana leo. Nimeenda kanisani kusali nakutana na mahubiri ya siasa!!!
Maaskofu wangu nawaheshimu sana, nawashauri acheni KUTUMIKA kisiasa.
 
Back
Top Bottom