PreGE2025 Paul Makonda: Msigeuze makanisa kuwa viwanja vya siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
My Take
Nakubaliana kabisa na Paulo ,hao wanaojiita Maaskofu kazi zao ni porojo za Kisiasa kushabikia Wapinzani huku wamemsahau Yesu.

Wakidhibitiwa watasema uhuru wa dini unainhiliwa wakati wanageuza majukwaa ya dini kufanya siasa.
===================
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametoa wito kwa viongozi wa dini na waumini kuhakikisha wanazingatia na kufuata mafundisho ya Mungu badala ya kutumia maeneo ya ibada kama majukwaa ya kisiasa, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Ameeleza kuwa kuna ongezeko la baadhi ya viongozi wa dini kuingiza siasa katika mahubiri yao, jambo ambalo linaweza kusababisha migawanyiko na taharuki miongoni mwa waumini."Watumishi wa Mungu niwaombe sana kwa unyenyekevu mkubwa, semeni yale Mungu amewaagiza kusema kupitia roho Mtakatifu na sio yale tunayowaambia sisi wanasiasa kwa kuwa yale yanayotoka kwa Mungu ni maneno yenye uponyaji." Amesema.

Aidha, amewaomba viongozi wa dini kutumia nafasi yao kuhubiri amani, upendo na mshikamano, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye kipindi nyeti cha uchaguzi Akisisitiza kuwa viongozi wa dini wana nafasi kubwa ya kuimarisha umoja wa kitaifa kwa kuepuka lugha au matendo yenye viashiria vya uchochezi wa kisiasa.

Mwezi uliopita Maza slikuwa msikitini kama mgeni rasmi.

Maza katoa michango makanisani kwa mamilion.

Kama hawataki siasa makanisani na misikitini

Uhuni tu. Watende haki. Period.

CCM wasitake kuspin. Kila mtu anajua na wao wanajua kuwa wanachokifanya ni dhambi na siyo haki. Waache Maskofu watoe mawazo yao. Wao pia ni Raia kama raia wengine.
 
Huyu mwizi tu. Anashirikiana na walanguzi wa mafuta kuingiza na kuafirisa mafuta kule KIGAMBONI! Ana depo ya MAFUTA HUYU
atwqmbie kwanzq DEPO Aliipata wapi na hawa kina FAROUCK na NAIRESHI wandani wake ni Nani nchini hapa???
 
Mwezi uliopita Maza slikuwa msikitini kama mgeni rasmi.

Maza katoa michango makanisani kwa mamilion.

Kama hawataki siasa makanisani na misikitini

Uhuni tu. Watende haki. Period.

CCM wasitake kuspin. Kila mtu anajua na wao wanajua kuwa wanachokifanya ni dhambi na siyo haki. Waache Maskofu watoe mawazo yao. Wao pia ni Raia kama raia wengine.
Shida ni mtoaji au mpokeaji?
 
Safi sana . Kanena ukweli mchungu. Naamini viongozi wa Dini watakuwa wamefikiwa na ujumbe huu mzuri kabisa na wenye upako
Muulize kwanza ile DEPO ya kuhifadhia mafuta kule KIGAMBONI kaipataje?
Mtaji wa kuagiza Meli za mafuta nje ya nchi MAKONDA kaupata wapi?
 
Baba lao TEC akiongea;milio ya waovu huwa ni mingi.

Ukweli huponya hata kama ma-ccm mnaona ni ukweli mchungu kwenu lakini kuupokea ukweli kutoka TEC ndiyo njia pekee ya kupona.

Roma locuta,causa finita est.

Hongera TEC!
 
My Take
Nakubaliana kabisa na Paulo ,hao wanaojiita Maaskofu kazi zao ni porojo za Kisiasa kushabikia Wapinzani huku wamemsahau Yesu.

Wakidhibitiwa watasema uhuru wa dini unainhiliwa wakati wanageuza majukwaa ya dini kufanya siasa.
===================
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametoa wito kwa viongozi wa dini na waumini kuhakikisha wanazingatia na kufuata mafundisho ya Mungu badala ya kutumia maeneo ya ibada kama majukwaa ya kisiasa, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Ameeleza kuwa kuna ongezeko la baadhi ya viongozi wa dini kuingiza siasa katika mahubiri yao, jambo ambalo linaweza kusababisha migawanyiko na taharuki miongoni mwa waumini."Watumishi wa Mungu niwaombe sana kwa unyenyekevu mkubwa, semeni yale Mungu amewaagiza kusema kupitia roho Mtakatifu na sio yale tunayowaambia sisi wanasiasa kwa kuwa yale yanayotoka kwa Mungu ni maneno yenye uponyaji." Amesema.

Aidha, amewaomba viongozi wa dini kutumia nafasi yao kuhubiri amani, upendo na mshikamano, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye kipindi nyeti cha uchaguzi Akisisitiza kuwa viongozi wa dini wana nafasi kubwa ya kuimarisha umoja wa kitaifa kwa kuepuka lugha au matendo yenye viashiria vya uchochezi wa kisiasa.

Huyo Makonda aache ujinga huwezi kutenganisha dini na siasa.dini hufanyika duniani na siasa ziko duniani.siasa inaamua maisha ya kila kitu na kila mtu hapa duniani.ukiwaacha wanasiasa wafanye siasa ujue umekwisha.
 
Misikitini na Makanisani wakisema mama anatosha hiyo sio siasa.
 
𝓚𝓪𝓶𝔀𝓮 𝓴𝓪𝓷𝓲𝓼𝓪 𝓱𝓪𝓵𝓲𝔀𝓮𝔃𝓲 𝓴𝓾𝓪𝓬𝓱𝓪 𝓴𝓾𝓳𝓲𝓱𝓾𝓼𝓲𝓼𝓱𝓪 𝓷𝓪 𝓶𝓪𝓶𝓫𝓸 𝔂𝓪 𝓼𝓲𝓪𝓼𝓪 𝓹𝓪𝓵𝓮 𝓲𝓷𝓪𝓹𝓸𝔀𝓮𝔃𝓪 𝓴𝓾𝓸𝓷𝓮𝓴𝓪𝓷𝓪 𝓴𝔀𝓪𝓶𝓫𝓪 𝓶𝓪𝓶𝓫𝓸 𝓱𝓪𝔂𝓪𝓴𝓸 𝓼𝓪𝔀𝓪, 𝓷𝓲 𝓵𝓪𝔃𝓲𝓶𝓪 𝔂𝓪𝓴𝓮𝓶𝓮𝔀𝓮, 𝓷𝓲 𝔀𝓪𝓳𝓲𝓫𝓾 𝔀𝓪𝓸.
 
Wanasema ukweli wapo upande wa wanaosema ukweli, no reforms no election kwani wewe unaona una uhuru wa kuchagua unayemtaka?

Ni vizuri kama wanasema ukweli. Maana ukweli unawaweka watu huru. Je wewe unafikiri huu ni muda muafaka wa kufanya mabadiliko? Naomba nieleweke vyema, Sijasema kwamba mabadiliko siyo muhimu
 
My Take
Nakubaliana kabisa na Paulo ,hao wanaojiita Maaskofu kazi zao ni porojo za Kisiasa kushabikia Wapinzani huku wamemsahau Yesu.

Wakidhibitiwa watasema uhuru wa dini unainhiliwa wakati wanageuza majukwaa ya dini kufanya siasa.
===================
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametoa wito kwa viongozi wa dini na waumini kuhakikisha wanazingatia na kufuata mafundisho ya Mungu badala ya kutumia maeneo ya ibada kama majukwaa ya kisiasa, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Ameeleza kuwa kuna ongezeko la baadhi ya viongozi wa dini kuingiza siasa katika mahubiri yao, jambo ambalo linaweza kusababisha migawanyiko na taharuki miongoni mwa waumini."Watumishi wa Mungu niwaombe sana kwa unyenyekevu mkubwa, semeni yale Mungu amewaagiza kusema kupitia roho Mtakatifu na sio yale tunayowaambia sisi wanasiasa kwa kuwa yale yanayotoka kwa Mungu ni maneno yenye uponyaji." Amesema.

Aidha, amewaomba viongozi wa dini kutumia nafasi yao kuhubiri amani, upendo na mshikamano, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye kipindi nyeti cha uchaguzi Akisisitiza kuwa viongozi wa dini wana nafasi kubwa ya kuimarisha umoja wa kitaifa kwa kuepuka lugha au matendo yenye viashiria vya uchochezi wa kisiasa.

Bashire aache UJINGA. Yaani yeye ndiye wa kuwafundisha Maaskofu nini cha kuhubiria Waamumini...!!? Kweli Dunia inazunguka kwa kasi sana. Nimeshangaa kuona Masista wanampigia makofi kwa kuongea Ujinga.
 
My Take
Nakubaliana kabisa na Paulo ,hao wanaojiita Maaskofu kazi zao ni porojo za Kisiasa kushabikia Wapinzani huku wamemsahau Yesu.

Wakidhibitiwa watasema uhuru wa dini unainhiliwa wakati wanageuza majukwaa ya dini kufanya siasa.
===================
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametoa wito kwa viongozi wa dini na waumini kuhakikisha wanazingatia na kufuata mafundisho ya Mungu badala ya kutumia maeneo ya ibada kama majukwaa ya kisiasa, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Ameeleza kuwa kuna ongezeko la baadhi ya viongozi wa dini kuingiza siasa katika mahubiri yao, jambo ambalo linaweza kusababisha migawanyiko na taharuki miongoni mwa waumini."Watumishi wa Mungu niwaombe sana kwa unyenyekevu mkubwa, semeni yale Mungu amewaagiza kusema kupitia roho Mtakatifu na sio yale tunayowaambia sisi wanasiasa kwa kuwa yale yanayotoka kwa Mungu ni maneno yenye uponyaji." Amesema.

Aidha, amewaomba viongozi wa dini kutumia nafasi yao kuhubiri amani, upendo na mshikamano, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye kipindi nyeti cha uchaguzi Akisisitiza kuwa viongozi wa dini wana nafasi kubwa ya kuimarisha umoja wa kitaifa kwa kuepuka lugha au matendo yenye viashiria vya uchochezi wa kisiasa.

Na yeye hapo alipo anatoa maelekezo ya kisiasa ndani ya jumuia ya kidini.

Both government officials and politicians or clerics should stop using the religious platforms to push their agenda on others to balance their obligations. Period----!
 
Mi
My Take
Nakubaliana kabisa na Paulo ,hao wanaojiita Maaskofu kazi zao ni porojo za Kisiasa kushabikia Wapinzani huku wamemsahau Yesu.

Wakidhibitiwa watasema uhuru wa dini unainhiliwa wakati wanageuza majukwaa ya dini kufanya siasa.
===================
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametoa wito kwa viongozi wa dini na waumini kuhakikisha wanazingatia na kufuata mafundisho ya Mungu badala ya kutumia maeneo ya ibada kama majukwaa ya kisiasa, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Ameeleza kuwa kuna ongezeko la baadhi ya viongozi wa dini kuingiza siasa katika mahubiri yao, jambo ambalo linaweza kusababisha migawanyiko na taharuki miongoni mwa waumini."Watumishi wa Mungu niwaombe sana kwa unyenyekevu mkubwa, semeni yale Mungu amewaagiza kusema kupitia roho Mtakatifu na sio yale tunayowaambia sisi wanasiasa kwa kuwa yale yanayotoka kwa Mungu ni maneno yenye uponyaji." Amesema.

Aidha, amewaomba viongozi wa dini kutumia nafasi yao kuhubiri amani, upendo na mshikamano, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye kipindi nyeti cha uchaguzi Akisisitiza kuwa viongozi wa dini wana nafasi kubwa ya kuimarisha umoja wa kitaifa kwa kuepuka lugha au matendo yenye viashiria vya uchochezi wa kisiasa.

mimi sio msomaji mzuri wa Biblia ila KAZI ya mitume na manabii ilikuwa ni pamoja na kukemea mienendo mibaya ya wafalme.
 
Back
Top Bottom