Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Amani ya Bwana iwe pamoja naweKafie mbele huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani ya Bwana iwe pamoja naweKafie mbele huko
Mwamba Makonda ni msafi ndio maana Anaendelea kung'aa katika macho ya watanzania na kukaa katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.Kimsafisha Makonda ni sawa na kumuosha mnyama aina ya nguruwe(samahani kwa maneno ya mfanano), nguruwe utamuosha atangaa, dakika chache anarudi kwe.ye tope lake, kidogo uenezi ilikuwa njia ya kumtakatisha kisiasa, lakini baada ya kuoga, karudi kwenye tope lake kwa kumtishia kumuua Salah
Unapost nyuzi myingi humu kuwinda visichana, umal/ya tuHata Mimi Nakupendaaa wewe kwa dhati ya Moyo wangu toka ndani kabisa ya sakafu ya Moyo wangu na sijuwi kwanini?
Kwa hakika ni sauti ya wanyonge na tumaini la watanzaniamakonda ni mtetezi wa wanyonge nchi nzima
Kama umeumia basi wewe pasukaa au kunywa sumu ya panya UFE kabisa maana huna faida kabisa hapa Nchini petu.Unapost nyuzi myingi humu kuwinda visichana, umal/ya tu
KayngayNdugu zangu Watanzania,
Kuna wakati mwanasiasa kijana kutokea Afrika ya kusini Julius Malema alionekana kama ndiye kijana jasiri zaidi hapa Barani Afrika na ambaye alikuwa akilitetea hata Bara zima la Afrika hususani vijana wa ki Afrika, na kwa hakika wengi walitamani kuwa kama kijana huyo anayeongoza chama cha EFF kwa sasa, na ambaye amewahi kuwa mwanachama wa ANC na kiongozi wa vijana wa ANC kabla ya kufukuzwa uwanachama,Lakini kwa sasa kibao kimegeuka kabisa.
kwa sasa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ndiye Mwanasiasa kijana anayetajwa kuwa jasiri sana kuwahi kutokea katika miaka ya hivi karibuni. Ni jasiri kwelikweli mithili ya wale makomandoo waliopikwa na kuivishwa kisawasawa kijeshi na kimedani kutoka Marekani waliokwenda Pakistani kwenda kupambana katika ngome ya Gaidi namba moja Duniani Osama Bin laden huku Rais wao akiwa anawatizama kutokea ikulu ya whitehouse Marekani namna wanavyopambana huku wakiwa wamelibeba Taifa lao mabegani mwao.
Haijapata kutokea hapa nchini kwa miaka ya hivi karibuni kuona kijana ambaye jina lake likitajwa kwenye taarifa ya mkurugenzi mkuu wa mawasiliano ya Rais ikulu katika uteuzi wa aina yoyote ile linatetemesha ,kutikisa na linateka habari zote mitaani,vijiweni,makanisani,virabuni, bar, shuleni, masokoni,viwanjani na kuzima mijadala yote mitaani inayokuwa inaendelea na kubakia yeye tu akitamba na kutawala katika medani za kisiasa ,utafikiri jeshi la Tanzania lilipokuwa linaingia katika ardhi ya Uganda kumsaka kwa hasira na uchungu mkali huku mioyo yao ikibubujikwa machozi ya hisia kali za uzalendo ili kumnasa Nduli Iddi Amini Dada.
Makonda ni Mwamba ni Mwamba kwelikweli ni Jabali la siasa ni fundi wa siasa, ni komando. Ni field Marshall wa siasa za Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania.
Ni kivutio na mfano halisi wa kijana jasiri na mzalendo wa kweli. Jina lake tu ni kama Taasisi ,ni mkubwa kuliko Sacco's kama CHADEMA nzima.
Anao ushawishi ambao sijapata kuuona wala kuushuhudia ,anakubalika utafikiri pesa. Ana nguvu iliyo kubwa sana ndani yake. Akiunguruma nchi nzima inatikisika na kubaki ikifanya mjadala tu juu yake.
Mwamba Makonda anazima na kufunika hadi habari za simba na yanga? Huyu mwamba siyo mtu wa kawaida, Mungu amempatia kibali cha kipekee kabisa na Karama ya uongozi.ndio maana ya kuona na kushuhudia namna alivyo na ushawishi na nguvu kubwa ya kisiasa.
Hata ukimtizama anapozungumza tu unaona kabisa huyu ni zaidi ya kiongozi,ni kiongozi mwenye mamlaka tokea ndani yake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
View attachment 2951049View attachment 2951052View attachment 2951055
Aminaaaa Nashukuruuu Sanaaaa ndugu yangu mtanzania. Amani ya Bwana iwe pamoja naweLUCAS wee ni mpuuzi sana
Ukoo wa Mwashamba huko Mbozi hauna watu wa hovyo kama weweKama umeumia basi wewe pasukaa au kunywa sumu ya panya UFE kabisa maana huna faida kabisa hapa Nchini petu.
Ndio nilikula ,japo nilikula pia kwa niaba yako kwa imani. Si unajuwa imani ina nguvu ephenJana umekula pilau la pasaka?😂
Ni kweli ndio maana huku nilihisi nimeshibaNdio nilikula ,japo nilikula pia kwa niaba yako kwa imani. Si unajuwa imani ina nguvu ephen
😃😃😃 Mwaka huu utakufa kwa presha maana kwa kadri unavyomchukia Mwamba Mwenyewe Makonda ndivyo anavyoendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzaniaUkoo wa Mwashamba huko Mbozi hauna watu wa hovyo kama wewe
Acha upumbavu huu,huyo Malema end of the day kama kifaranga kilichokoswa na mwewe,anarudi kwenye white peoples security complex za Sandton na SIO kwenye zile avenues za AlexandraAmka usingizini ndugu yangu uone namna Tanzania ya Rais Samia Inavyoendelea kimaendeleo kupaaa kama ndege vita katika kila Secta.
Mbona ni kama umepaniki mkuu? Kunywa maji utulize akili.Acha upumbavu huu,huyo Malema end of the day kama kifaranga kilichokoswa na mwewe,anarudi kwenye white peoples security complex za Sandton na SIO kwenye zile avenues za Alexandra
Uongo sip mwema ni zaidi ya uchawiMbona ni kama umepaniki mkuu? Kunywa maji utulize akili.
Hapa comrade tupumzishe kidogo!Ndugu zangu Watanzania,