Paul Makonda Ndiye Mwanasiasa kijana Mwenye ushawishi na Ujasiri Mkubwa Barani Afrika

Kimsafisha Makonda ni sawa na kumuosha mnyama aina ya nguruwe(samahani kwa maneno ya mfanano), nguruwe utamuosha atangaa, dakika chache anarudi kwe.ye tope lake, kidogo uenezi ilikuwa njia ya kumtakatisha kisiasa, lakini baada ya kuoga, karudi kwenye tope lake kwa kumtishia kumuua Salah
 
Mwamba Makonda ni msafi ndio maana Anaendelea kung'aa katika macho ya watanzania na kukaa katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.
 
Kayngay
 
Ukoo wa Mwashamba huko Mbozi hauna watu wa hovyo kama wewe
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Mwaka huu utakufa kwa presha maana kwa kadri unavyomchukia Mwamba Mwenyewe Makonda ndivyo anavyoendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania
 
Amka usingizini ndugu yangu uone namna Tanzania ya Rais Samia Inavyoendelea kimaendeleo kupaaa kama ndege vita katika kila Secta.
Acha upumbavu huu,huyo Malema end of the day kama kifaranga kilichokoswa na mwewe,anarudi kwenye white peoples security complex za Sandton na SIO kwenye zile avenues za Alexandra
 
Acha upumbavu huu,huyo Malema end of the day kama kifaranga kilichokoswa na mwewe,anarudi kwenye white peoples security complex za Sandton na SIO kwenye zile avenues za Alexandra
Mbona ni kama umepaniki mkuu? Kunywa maji utulize akili.
 
Hapa comrade tupumzishe kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…