Paul Makonda Ndiye Mwanasiasa kijana Mwenye ushawishi na Ujasiri Mkubwa Barani Afrika

Umetumia takwimu gani au unaongea tu !
 
Ndugu yangu, hawapendi umtaje Mwamba wa Afrika, JPM. Jina la JPM linawatisha Viongozi wabovu, Mafisadi, Majizi na wapumbavu wengi waliopo kwenye mfuko.
Kwa hali ilivyo sasa, ukimtaja tu JPM, kama upo kwenye nafasi ya uteuzi, kesho yake uteuzi unatenguliwa.
By the way, "WA MBILI HAVAI MOJA"
Mungu akupe nguvu za kutokurudi nyuma kumtetea JPM, Mwamba wa Afrika.
 
Daah anayepewa pole bado ana ulaji tena eneo analolipenda sana
 
HAYATI JPM NI KIPENZI CHA WATANZANIA WALIO WENGI. JAPO KIMWILI HATUKO NAYE, LAKINI ANGALI AKIISHI MIOYONI MWETU.
MAKONDA ENDELEA PALE PALE ULIPOISHIA.
 
Ni kweli ni jasiri licha ya kasoro zake kisomi. Mimi ninaangalia tu mtu mwenye maono, elimu ni baadae.
Sasa Makonda ana maono gani au ujasiri gani. Tunaweza kupima ujasiri kwa mtu kusema akiwa nje ya dola kama kina Lissu.
 
Kusema ukweli Makonda ni Scofield wa CCM lakini Julius Malema ni habari nyingine

Makonda ni mtu wa 'aina yake' katika kufanikisha 'mission' ya nature na aina yoyote kwa kiwango kinachohitajika. Makonda ni 'wa pekee' na aina yake katika 'medani'

Nachotaka kusema hapa ni kwamba hata CHADEMA wakichukua nchi leo bado Makonda hatoachwa kamwe bila kazi ya kufanya!

Nafikiri tumeelewana ndugu zangu!
 
Kasharudisha zile nyumba alizopora kwa GSM? ni huruma ya mama tu, hiyu alipaswa kuwa Segerea.
 
Timu ya mtu 3 ambayo ikiaminiwa na kupewa madaraka nchi na taifa itafika mbali sana, 1Makonda, 2Polepole 3Gwajima. Ongeza na wewe
 
Namba yako tunayo, wala usijali endelea kuropokwa. Naona Tulia Ackson kakupiga stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…