Paul Makonda Ndiye Mwanasiasa kijana Mwenye ushawishi na Ujasiri Mkubwa Barani Afrika

KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.

HAHAHAA MNALIPWAGA SH NGAPI MMETUJAXIAA MAICHAFU KILA KONA
 
Kwahiyo anamzidi Malema? Au vipi yule Rais wa Nigeria.
Mambo ya kuliaibisha taifa haya.
 
Uzwazwa wa karne huu. Kuna Kijana huko kashinda uraisi halafu
Muuaji anakuwaje na ushawishi? Labda nyumbani kwenu Huko Lumumba maana ndicho.mnachoweza kukifanya kwa ufanisi.
 
Kaa kwa kutulia na uandae kabisa vidonge vya kunywa pale kishindo kitakapokuwa kikubwa sana siku atakapokanyaga katika ardhi ya Arusha.maana mtetemo wake hautakuwa wa kawaida hata kidogo.
Tofauti ya uchawa na Ushoga ni ndogo sasa, maana chawa anaweza kugeuzwa muda wowote bila kipingamizi ili kumfurahisha bwana wake.
 
Ila nimegundua kuna watu wakitaka utukanwe sana wanakusifia
 
Kijana msomi hasiye na vyeti vya kugushi, week jana alitanganzwa kushinda kiti cha Urais Senegal. Utatwambiaje huyu mropokaji kuwa na ushawishi kuliko vijana wengine Africa? Kapime afya ya akili yako.
 
Nenda akupe kazi , mtu mzima na familia unakua na akili ya ajabu , why usijisifie mwenyewe ?

Nakwambia na nilisha kwambia mbeleni maisha yako yatakua ya tabu sana , kwamba wewe upo na macho 3 kama sio manne kuliko watu wa inner cycle ambao ni ccm na wameona hana huwezo wa kutumikia nafasi aliokuwa nayo?

Ni kwa kua ccm imepoteza Dira kama sio hivyo ningejiinga na chama hichi niwatie adabu hasa nyie Machawa .

Badala ya kujenga chama mpo busy na uchawa
 
Wala haihitaji wewe kuwa na hasira kiasi hicho zaidi ya kukubali tu ukweli kuwa Makonda ni Mwamba kwelikweli
 
Kijana msomi hasiye na vyeti vya kugushi, week jana alitanganzwa kushinda kiti cha Urais Senegal. Utatwambiaje huyu mropokaji kuwa na ushawishi kuliko vijana wengine Africa? Kapime afya ya akili yako.
Asingepata Urais ikiwa Sonko angegombea Urais
 
Yeah,Jamaa ana uthubutu lakini kwa maoni yangu kuna hawa jamaa Makonda hajawafikia
1.ROBERT KYAGULANYA-UGANDA
2.JULIUS MALEMA-AFRIKA KUSINI
3.OUSMANE SONKO-SENEGAL
4.DIANE RWIGARA -RWANDA
5.NELSON CHAMISA-ZIMBAMBWE

Hao hapo juu ni vyuma kwelikweli,misukosuko waliopitia na wanayopitia Makonda na Sabaya wanasubiri.
Wana ushawishi siyo ndani tu hata nje ya nchi zao...naamini hata mleta mada walijua hilo.
 
Ndiyooooo ni Kweliiiiiii. Paul Makonda Ni mwanasiasa machachari sana kwa sasa Tanzania, Hakika mji wetu wa Arusha sasa tumepata kiongozi wa kutukuka... Kongole..!! Itabidi nifupishe ziara yangu huku Durban SA, kwa ajili ya kuja kumpokea mheshimiwa Chugga.
 
Mpeleke Marekani
 
kwisha habari yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…