Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wewe mchango wako ni nini?Tatizo ni kuwa wengi wanaodai katiba mpya hawamaanishi kutoka moyoni na hiyo ni kwasababu ya tamaa zao yaani wanalizungumzia jambo ili serikali iwape chochote kitu.
NO ONE IS REAL.
Mimi mchango wangu ni huu.. at least nimewasanau wadau kuwa some politicians are using the so called "KATIBA MPYA" for their parsonal interest.Wewe mchango wako ni nini?
Ndiyo unatakiwa uwe msitari wa mbele kuitadaiMimi mchango wangu ni huu.. at least nimewasanau wadau kuwa some politicians are using the so called "KATIBA MPYA" for their parsonal interest.
Ijapokuwa sipingi kuwa kuna umuhimu wa katiba mpya ila kuna udhaifu mkubwa katika kuidai.
Habari wanajamvi!
Kwa anayefuatilia siasa za Tanzania atakubaliana na mimi kuwa kwa sasa Mh. Paul Makonda Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye anayetamba katika anga za Kisiasa hapa nchini, Ujio wake umekuwa wa kishindo sana na hii ni karata muhimu kwa Rais Samia kuelekea mbio za uchaguzi wa 2025 nitaelezea kwa ufupi kwanini makonda ni karata ya muhimu kwa Rais Samia.
Tufahamu kuwa kipindi cha Hayati Dr. Magufuli alianzisha siasa zilizojulikana kama siasa za kutetea wanyonge na kupitia mbinu hii alifanikiwa kwa zaidi ya asilimia 90% kuteka nyoyo na akili za watanzania hasa wa tabaka la chini ambao walikuwa wakifurahishwa na jinsi Dr. Magulfuli alivyokuwa akiwawajibisha viongozi.
Baada ya Rais Samia kupokea kijiti cha Urais aina ya siasa za Hayati Magufuli zilionekana kupotea na kundi kubwa la watu wa tabaka la chini halikupenda viongoizi wanapokosea kutowajibishwa na hii ilipelekea taratibu Rais Samia kuanza kupoteza mvuto hasa kwa raia wa hili tabaka la chini.
Inaonekana Samia alipewa ushauri wa kumrudisha Makonda kuwa active kwenye siasa tena ndani ya chama na akaukubali kwani Makonda anaziweza siasa za Hayati Dr. Magufuli na hivyo lile kundi kubwa la watu lililopoteza imani na serikali ya Dr. Samia taratibu litaanza kurudisha imani kwa serikali na hili linajidhihirishakupitia mikutano ya Mh. Makonda inayoendelea Tanzania. Hapa ni kusema kuwa ujio wa Mh. Makonda ni wa kimkakati Zaidi.
Niseme tu kama Mh. Samia kaamua kutumia karata hii ya makonda ni wazi kuwa timu Magufuli bado walikuwa na nguvu ndani ya chama na hivyo haikuwa sahihi kuwaapuuza lakini hii ni ishara huenda kufikia 2025 wengi katika wanasiasa wenye mrengo wa Hayati Dr. Magufuli wakarudishwa kundini ili kumsaidia Rais Samia katika kampeni za 2025, Ingawaje inaonekana mchuano utakuwa mkali sana ndani ya chama kwani kuna loophole nyingi sana zinazoweza kutumika kumuweka mgombea mwingine tofauti na Samia.
Na amempa heshima na itifaki yenye hadhi ya karata dume.Habari wanajamvi!

Nimependa hapo kwenye loopholes.. Hebu atokee basi mgombea mwingine tupumzishwe na Kizimkazi..Mkuu usisahau kuna loopholes nyingi zinaweza tumika kuhalalisha kuvunjwa kwa utaratibu wa ka mserereko uliozoeleka.
Kwani Samia hakushindanishwa na wala hakuchukua form ya urais ila ameupata kwa bahati baada ya mapenzi ya Mungu kutimia.
Hivyo 2025 mpira unaanza 0 - 0 japo kuwa Samia Ana nafasi kubwa ya kubadili matokeo maana kwa sasa yeye ndie mwenye kadi zote nyekundu na njano na ameanza kuzitumia vizuri maana anajua ugumu wa mechi.
Na kwa mfano Samia mwenyewe akisikia sauti ya YEYE na akaamua kuitii nini kitatokea?(Picha imejitundika kwa bahati mbaya)Uchaguzi wa 2025, hakuna mchuano wowote kwa Rais Samia kwasababu kwa utaratibu wa CCM, 2025 Samia anapita kwa mserereko, inatolewa fomu moja tuu ya Samia!. Ila inaweza kutokea Samia asigombee kwasababu HII them bado Samia atachukua fomu yake na kumpa mtu atakaye mtaka!.
P
Loopholes zitatumika vizuri tu mkuu ila inategemea na nguvu ya Samia ndani ya chama kama itakuwa ndogo then its over!Nimependa hapo kwenye loopholes.. Hebu atokee basi mgombea mwingine tupumzishwe na Kizimkazi..
Hili linaweza kutokea pia mkuu.!Na kwa mfano Samia mwenyewe akisikia sauti ya YEYE na akaamua kuitii nini kitatokea?(Picha imejitundika kwa bahati mbaya)View attachment 2895819
Ujue kwa mambo yalivyo sasa ni wazi kuwa Samia kalemewa na huu mzigo wa Urais na amepoteza imani kwa wananchi hivyo best option iliyokuwepo ni kumtumia Makonda ambaye kwa kiasi anaweza kujitoa ufahamu na kuwatandika vitasa hata CCM wenzake. Yote hii Samia anafanya ni Trial & error kuona njia gani itakuwa sahihi ili aaminike na watanzania.Haya maigizo kwa mtu mwenye akili timamu ataona kuwa yanaivua nguo CCM na Serikali yake tu na kumjenga Makonda yeye binafsi. Uozo unaoibuliwa kwenye ziara za Makonda ni kielelezo cha kushindwa kwa Serikali kuwatumikia wananchi. Hawa wanaolalamikiwa yaani wakurugenzi,wakuu wa wilaya na mikoa wote ni makada wa CCM na ni wateule wa Rais. Ina maana Rais na vyombo vyake amewashindwa wateule wake ndiyo Makonda atawaweza? Watu wanashangilia wateule hao kujambishwa na Makonda lakini hayo yote yanaishia hapo hapo jukwaani akishapita ni business as usual. WAJINGA NDIYO WALIWAO.
Hili lipo ila linafichwa ili kuepusha mtafaruku kwa akina Lameck na Marope na wengineo. Gazeti la Uhuru ni mouthpiece ya CCM ,chapisho lile halikutoka kwa bahati mbaya, it was well calculated, hata kukanushwa ilikuwa mbinu tu ya kuweka pazia kwa kinachoendelea.Hili linaweza kutokea pia mkuu.!
Inaonekana jamaa ana kitu cha ziada tofauti na tunavyomuona maana kuna kundi kubwa ndani ya chama halipendi jinsi Makonda anavyoendesha mambo ila ndio hivyo hawana cha kumfanya.Na amempa heshima na itifaki yenye hadhi ya karata dume.
Kama alivyokuwa anaogopwa na Viongozi wa awamu ya 5 kutoa Rais hata Sasa anaogopwa na Viongozi kutoa Rais.
You are correct. Ila kwa kinachoendelea nafikiri Bimkubwa anajuta, hakujua kuwa itakuwa hivi.Ujue kwa mambo yalivyo sasa ni wazi kuwa Samia kalemewa na huu mzigo wa Urais na amepoteza imani kwa wananchi hivyo best option iliyokuwepo ni kumtumia Makonda ambaye kwa kiasi anaweza kujitoa ufahamu na kuwatandika vitasa hata CCM wenzake. Yote hii Samia anafanya ni Trial & error kuona njia gani itakuwa sahihi ili aaminike na watanzania.
Marais wanaomkubali,hao wengine wasipompenda haimuhusu Makonda watajuana wao Kwa wao,ndio maana kapewa ulinzi na WasaidiziInaonekana jamaa ana kitu cha ziada tofauti na tunavyomuona maana kuna kundi kubwa ndani ya chama halipendi jinsi Makonda anavyoendesha mambo ila ndio hivyo hawana cha kumfanya.
People talk to people not at people!Habari wanajamvi!
Kwa anayefuatilia siasa za Tanzania atakubaliana na mimi kuwa kwa sasa Mh. Paul Makonda Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye anayetamba katika anga za Kisiasa hapa nchini, Ujio wake umekuwa wa kishindo sana na hii ni karata muhimu kwa Rais Samia kuelekea mbio za uchaguzi wa 2025 nitaelezea kwa ufupi kwanini makonda ni karata ya muhimu kwa Rais Samia.
Tufahamu kuwa kipindi cha Hayati Dr. Magufuli alianzisha siasa zilizojulikana kama siasa za kutetea wanyonge na kupitia mbinu hii alifanikiwa kwa zaidi ya asilimia 90% kuteka nyoyo na akili za watanzania hasa wa tabaka la chini ambao walikuwa wakifurahishwa na jinsi Dr. Magulfuli alivyokuwa akiwawajibisha viongozi.
Baada ya Rais Samia kupokea kijiti cha Urais aina ya siasa za Hayati Magufuli zilionekana kupotea na kundi kubwa la watu wa tabaka la chini halikupenda viongoizi wanapokosea kutowajibishwa na hii ilipelekea taratibu Rais Samia kuanza kupoteza mvuto hasa kwa raia wa hili tabaka la chini.
Inaonekana Samia alipewa ushauri wa kumrudisha Makonda kuwa active kwenye siasa tena ndani ya chama na akaukubali kwani Makonda anaziweza siasa za Hayati Dr. Magufuli na hivyo lile kundi kubwa la watu lililopoteza imani na serikali ya Dr. Samia taratibu litaanza kurudisha imani kwa serikali na hili linajidhihirishakupitia mikutano ya Mh. Makonda inayoendelea Tanzania. Hapa ni kusema kuwa ujio wa Mh. Makonda ni wa kimkakati Zaidi.
Niseme tu kama Mh. Samia kaamua kutumia karata hii ya makonda ni wazi kuwa timu Magufuli bado walikuwa na nguvu ndani ya chama na hivyo haikuwa sahihi kuwaapuuza lakini hii ni ishara huenda kufikia 2025 wengi katika wanasiasa wenye mrengo wa Hayati Dr. Magufuli wakarudishwa kundini ili kumsaidia Rais Samia katika kampeni za 2025, Ingawaje inaonekana mchuano utakuwa mkali sana ndani ya chama kwani kuna loophole nyingi sana zinazoweza kutumika kumuweka mgombea mwingine tofauti na Samia.
KATIBA mpya ndo mpango mzimaKinachofanya Makonda aonekane anaigiza ni kwa sababu hana power Kama kiongozi wa serikali bali anayafanya hayo kupitia mgongo wa chama, Angekuwa yupo kwenye nafasi kama ya waziri mkuu au makamo wa rais isingeonekana ni maigizo
Huyo Mama anaewachekea Wapigaji? na huyo Makonda ambae ni Mwizi wa Pesa za TASAF na Muuaji na Mtekaji wa Wananchi?hayupo binadamu kumreplace Dr Samia Suluhu Hassan kwa wakati huu na ujao