Mkuu,Jamani wanaume wa dar tumekosa amani kabisa Mungu atusaidie
Hivi vitoto vinatuonea sana yaani
Hata kutoka nje usiku naogopa nakojolea kwenye kopo
Polisi wameanza kuwa makini ili tatizo litakwisha tu
Piga kelele kwa polisi wake
Weuweeee ..!
Hii hairuhusuwi maana mpaka Sasa haujui nani anafadhili hicho kikundi cha uhalifu iwapo ukisema yeye ndo anaweza maana yake akitolewa akaandaa genge lake pembeni Ili arudishwe hapo nchi itazalisha makundi mengi ya kihalifu maana Kuna watu unaweza hata usiwafikirie kama wanaweza kuwa na makundi yao ya ugange Ili kuwaharibia wengine na wao warudishwe kwenye vitengo au wapewe vitengo.Dar unarudi lini Mheshimiwa wetu Baba Keagan
Sisi wanaume wa dar huwa ni waogaMkuu,
Naona umekua muoga Sana Kama Kunguru wa Manzese kwa baresa[emoji4]
Wakamatwe na wahojiwe, familia zao zipatikane tujue chanzo au msukumo wa kuingia kwenye hili kundi unakotokea
Tukumbuke hakuna mtoto aliyezaliwa kama panyaroad ila Yapo yanayowapelekea kuwa panyaroad. Tutafute tuyajue na kuyashughulikia
imerudi serikali urojo!! miaka hyo polisi kupolwa silahaHuyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama Makonda.
Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda
Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara yake ya kitoto, hali ni tete wasikie tu panya road kwa jirani ni hatari sana.
Babu nimecheka sana usiku huu peke yangu..! Eti shavu km kameza fundo la castle liteπ€£π€£π€£Huyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama Makonda.
Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda
Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara yake ya kitoto, hali ni tete wasikie tu panya road kwa jirani ni hatari sana.
Wakamatwe na wahojiwe, familia zao zipatikane tujue chanzo au msukumo wa kuingia kwenye hili kundi unakotokea
Tukumbuke hakuna mtoto aliyezaliwa kama panyaroad ila Yapo yanayowapelekea kuwa panyaroad. Tutafute tuyajue na kuyashughulikia
Usijitoe ufahamu! Tatizo lipo kwa viongozi ambao wameshindwa kutatua matatizo ya wananchi. Ajira imekuwa tatzio kubwa sana. Huku watoto wa samia na kikwete wakiendelea kula kuku. Mwananchi wa kawaida aendelee kushinda njaa au kuambulia bamia? Tuwe serious haya mambo, mbona ni mwanzo tu.
NakaziaMimi nawashauri panya road wasiishie kuwacharanga mapanga, Bali wawale Tigo mbele ya wake zenu ndio mtasema Sasa imetosha na hakutakuwa na Panya road Tena.
Panya road siyo issue ya Polisi, hao wanamalizwa na wananchi wenyewe wakiamuwa.
Tafuta Upinde na Mshale upambane na hao panya road wewe, acha kuishi kizembe zembe kuna siku mtaliwa jicho mbele ya familia zenu.Kwa akili hizi, ndo maana wazungu wanasema waafrika zamani tulikuwa nyani.
reasoning and thinking capacity ni sufuri sufuri "0000000000000000"
Kama unampenda Makonda Mshauri arudishe Mali za watu alizopora pamoja na Magari Kwa kutumia Cheo, cheo ni dhamana Sio kupora watu wema!! Pia Mashamba ya Sumaye Mabwe pande pia arudisheHuyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama Makonda.
Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda
Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara yake ya kitoto, hali ni tete wasikie tu panya road kwa jirani ni hatari sana.
Wakamatwe na wahojiwe, familia zao zipatikane tujue chanzo au msukumo wa kuingia kwenye hili kundi unakotokea
Tukumbuke hakuna mtoto aliyezaliwa kama panyaroad ila Yapo yanayowapelekea kuwa panyaroad. Tutafute tuyajue na kuyashughulikia
ππππππJamani wanaume wa dar tumekosa amani kabisa Mungu atusaidie
Hivi vitoto vinatuonea sana yaani
Hata kutoka nje usiku naogopa nakojolea kwenye kopo
Polisi wameanza kuwa makini ili tatizo litakwisha tu
Piga kelele kwa polisi wake
Weuweeee ..!