DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Mkuu,Jamani wanaume wa dar tumekosa amani kabisa Mungu atusaidie
Hivi vitoto vinatuonea sana yaani
Hata kutoka nje usiku naogopa nakojolea kwenye kopo
Polisi wameanza kuwa makini ili tatizo litakwisha tu
Piga kelele kwa polisi wake
Weuweeee ..!
Naona umekua muoga Sana Kama Kunguru wa Manzese kwa baresa[emoji4]