Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kama kuna majitu majinga huyu nae yumo. Mnahadaiwa waziwazi na bado hamuelewi. Huyo ni msanii tu. Hana tofauti na wahubiri wa injili ya matumaini. Weak people , weak mind, ndio mnakuwa manipulated na watu design hii.
 
Kasukuma tena Mkokoteni au kapanda karandinga?
clini ya haki binafsi na za jumla inatatuliwa live....

leo ni mwanzo, kesho na keshokutwa itaendelea pia. usijivunge kuja, njoo tu usisite. Inawezekana
 
Kama kuna majitu majinga huyu nae yumo. Mnahadaiwa waziwazi na bado hamuelewi. Huyo ni msanii tu. Hana tofauti na wahubiri wa injili ya matumaini. Weak people , weak mind, ndio mnakuwa manipulated na watu design hii.
waliosaidika leo wamekusamehe na wanakuombea sana baraka na neema za Mungu, yasikukute

by the way kesho clinic ya haki inaendelea.....
 
waliosaidika leo wamekusamehe na wanakuombea sana baraka na neema za Mungu, yasikukute

by the way kesho clinic ya haki inaendelea.....
Ata yangenikuta, huyo hawezi kuwa solution. System ikifeli mtu mmoja mmoja hawezi lolote, jiulize Dar alijifanya kulazimisha ma single maza sijui wafanyaje, kiko wapi? jambo gani kawahi kuanzisha na kumalizia zaidi ya uharamia tu.
 
hakuna tatizo,
amini Mungu,
leo wanafaika wanalala kwa amani na kesho wale waliokata tamaa watapata matumaini na pumzi mpya kabisa
 
Kuna jipya gani kafanya huko town?
Amefanya clinic ya haki kubwa mno ambayo haijawahi kutokea Arusha.....

wanainchi, vijana, wazee, walemavu, wajane n.k wamewasilisha changamoto zao mbalimbali na kupatiwa, ushauri, ufumbuz na suluhu live on the sports
 
Makonda si wa mchezo ndo maana viongozi wenzake wanamuonea wivu. Saa angalia hapo anamzidi popularité hata Samia. Hizo views ni muda mmoja watu wengi walifuatilia Makonda kuliko Samia.
 
Makonda kwa kuongea na kupanga tu, anaweza kweli kweli...

Lakini, baada ya muda jaribu ku-quantify matokeo ya vitu vyote anavyovitaja, hakuna matokeo...
Unaota wewe amka, Mafuriko hayazuiliwi kwa mkono! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…