Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Wewe jamaa analysis yako finyu sana. Arusha kama mkoa una wadau wengi sana. Nakutoleq mfano.
1. Wadudu
2. Machangudoa.
3. Wafanya biashara
4. Wanasiasa
5. Watu wa ulinzi na usalama
6. Majambazi
7. Wachawi na walozi
8. Wakulima
9. Wafugaji
10. Watalii nk
Je hao wote wamemkubali makonda? Au wadudu ambao hata hawajui wanafanyishwa nini na makonda ndio role model wako?
 
Huyu Kijana Mimi namkubali sana. Pia namtakia kila Na kheri ndoto Yake ijekutimia. Ni Mjamaa wa kweli.
 
Jamaa ni mwanasiasa na watu wewe jichanganye nao kuwa kwenye media kila siku stay relevant mambo yatakwenda...., Hata Lema watu kitaa walimkubali sababu ya kuwa nao ground.., kwahio kuona ni mwenzao....

Politics 101
 
Naona nyota ya Paul Makonda inang'aa sana jijini Arusha. Inaonekana wakazi wengi sana wa Arusha wamemkubali, Kihistoria Arusha haina kabila, nahisi huyu jamaa anaweza chukua Jimbo.
UBUNGE mbona ni Cheo kidogo sana bora ungesema Awe Waziri Mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naona nyota ya Paul Makonda inang'aa sana jijini Arusha. Inaonekana wakazi wengi sana wa Arusha wamemkubali, Kihistoria Arusha haina kabila, nahisi huyu jamaa anaweza chukua Jimbo.
No please tunampa jimbo jipya la kwao la koromije
 
Kapelekwa huko kimkakati tu soon atapewa kitengo kingine mama sijui ana mpango gani nahuyo Makoo

Cc Smart911
 
Sijawahi mkubali na bado simkubali Paul Makonda. Lakini hilo haliondoi ukweli kuwa aina ya siasa anazofanya ndizo zinazopendwa na wananchi. Siasa za kuikimbiza serikali(Watumishi wa serikali) na kupazia sauti matatizo ya wananchi. Wazee wengi wa CCM wanasiasa za zamani. Siasa za ulaghai laghai huku wakiplay safe. Hawataki kuzua Taharuki. Siasa za kuongea wasiyomaanisha na kisha kurudi kwao wakiwa wameingiza siku. Siasa na porojo za kuishia majukwaani.

Aina ya siasa za Makonda ni za kuzua taharuki. Za kuamsha watu. Za mchakamchaka kama zilivyokuwa za Magufuli.
Mkubali Makonda au usimkubali lakini aina yake ya siasa ndiyo inayoeleweka kwa wananchi kwa sasa. Siasa za Wazee kama Nchimbi na Makalla, siasa za porojo bila kugusa wananchi zimepitwa na wakati.
 
Sio tu kwenye siasa, amsha amsha huwa zinapendwa popote pale Ila kwenye nchi zenye wananchi wenye uelewa mkubwa huwa wanaangalia MATOKEO na SIO MAKELELE.

Mfano kama wewe ulitakiwa kuonesha labda siasa za makonda kwa muda aliokaa Dar Es salaam kama mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa, zilileta impact gani

Labda waalimu wanapanda daladala bure,

Watumishi wa umma wamefukuzwa na kuwa accountable na udhembe au wizi wao.

mashoga na wauza madawa ya kulevya wamekamatwa na kufungwa.

Kuna sheria imetungwa kuwabana wanaume wanaotelekeza familia zao.

Na mengine mengi ambayo ni matamko na initiatives zake. Tukifanya hivyo, tutapata kujua kama siasa zake ni zina umuhimu regardless zinapigiwa promo na media au la
 
SIASA ZA KUANDAA KUNDI NA KUDHAMINI KUNDI LA WUAJI MA WATEKAJI?
 
Ni ngumu mkuu wa mkoa wowote kuleta mabadiliko sababu hana mamlaka juu ya bajeti, haajiri wala hawezi kufukuza.
 
Sijawahi mkubali na bado simkubali Paul Makonda. Lakini hilo haliondoi ukweli kuwa aina ya siasa anazofanya ndizo zinazopendwa na wananchi. Siasa za kuikimbiza serikali(Watumishi wa serikali) na kupazia sauti matatizo ya wananchi. Wazee wengi wa CCM wanasiasa za zamani. Siasa za ulaghai laghai huku wakiplay safe. Hawataki kuzua Taharuki. Siasa za kuongea wasiyomaanisha na kisha kurudi kwao wakiwa wameingiza siku. Siasa na porojo za kuishia majukwaani.

Aina ya siasa za Makonda ni za kuzua taharuki. Za kuamsha watu. Za mchakamchaka kama zilivyokuwa za Magufuli.
Mkubali Makonda au usimkubali lakini aina yake ya siasa ndiyo inayoeleweka kwa wananchi kwa sasa. Siasa za Wazee kama Nchimbi na Makalla, siasa za porojo bila kugusa wananchi zimepitwa na wakati.
Sema jamii ya wajinga sio wote.
 
Back
Top Bottom