Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mbele ya pesa lazima utubu.akuna kutumia nguvu ni akili tu,wadudu wametubu😅🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbele ya pesa lazima utubu.akuna kutumia nguvu ni akili tu,wadudu wametubu😅🤣
Kiatu alichokivaa hakimtoshi.Aliemshauri mama amrudishe mainstream huyu jamaa,aliona mbali.
Jamaa anajua namna ya kwenda na beat,tatizo liko kwa mama mwenyewe😁😁,habebeki.
Panya road wa wapi hao ambao Makonda aliwashindwa?..Alishindwa vipi na Panya Road ??? [emoji57][emoji57]
UBUNGE mbona ni Cheo kidogo sana bora ungesema Awe Waziri Mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]Naona nyota ya Paul Makonda inang'aa sana jijini Arusha. Inaonekana wakazi wengi sana wa Arusha wamemkubali, Kihistoria Arusha haina kabila, nahisi huyu jamaa anaweza chukua Jimbo.
No please tunampa jimbo jipya la kwao la koromijeNaona nyota ya Paul Makonda inang'aa sana jijini Arusha. Inaonekana wakazi wengi sana wa Arusha wamemkubali, Kihistoria Arusha haina kabila, nahisi huyu jamaa anaweza chukua Jimbo.
KAbisaKiatu alichokivaa hakimtoshi.
Which/what factsFace facts mkuu
EtiKwahiyo Kuongea na wadudu ndio ameiweza Arusha?Ni ufikiri wa kiwango cha takataka
Duuuu sawa aunty usikondeHatutafika kwa style hii. Lete picha basi aunty?😀😀😀😀😀😀
SIASA ZA KUANDAA KUNDI NA KUDHAMINI KUNDI LA WUAJI MA WATEKAJI?Sijawahi mkubali na bado simkubali Paul Makonda. Lakini hilo haliondoi ukweli kuwa aina ya siasa anazofanya ndizo zinazopendwa na wananchi. Siasa za kuikimbiza serikali(Watumishi wa serikali) na kupazia sauti matatizo ya wananchi. Wazee wengi wa CCM wanasiasa za zamani. Siasa za ulaghai laghai huku wakiplay safe. Hawataki kuzua Taharuki. Siasa za kuongea wasiyomaanisha na kisha kurudi kwao wakiwa wameingiza siku. Siasa na porojo za kuishia majukwaani.
Aina ya siasa za Makonda ni za kuzua taharuki. Za kuamsha watu. Za mchakamchaka kama zilivyokuwa za Magufuli.
Mkubali Makonda au usimkubali lakini aina yake ya siasa ndiyo inayoeleweka kwa wananchi kwa sasa. Siasa za Wazee kama Nchimbi na Makalla, siasa za porojo bila kugusa wananchi zimepitwa na wakati.
Ni ngumu mkuu wa mkoa wowote kuleta mabadiliko sababu hana mamlaka juu ya bajeti, haajiri wala hawezi kufukuza.Sio tu kwenye siasa, amsha amsha huwa zinapendwa popote pale Ila kwenye nchi zenye wananchi wenye uelewa mkubwa huwa wanaangalia MATOKEO na SIO MAKELELE.
Mfano kama wewe ulitakiwa kuonesha labda siasa za makonda kwa muda aliokaa Dar Es salaam kama mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa, zilileta impact gani
Labda waalimu wanapanda daladala bure,
Watumishi wa umma wamefukuzwa na kuwa accountable na udhembe au wizi wao.
mashoga na wauza madawa ya kulevya wamekamatwa na kufungwa.
Kuna sheria imetungwa kuwabana wanaume wanaotelekeza familia zao.
Na mengine mengi ambayo ni matamko na initiatives zake. Tukifanya hivyo, tutapata kujua kama siasa zake ni zina umuhimu regardless zinapigiwa promo na media au la
Sema jamii ya wajinga sio wote.Sijawahi mkubali na bado simkubali Paul Makonda. Lakini hilo haliondoi ukweli kuwa aina ya siasa anazofanya ndizo zinazopendwa na wananchi. Siasa za kuikimbiza serikali(Watumishi wa serikali) na kupazia sauti matatizo ya wananchi. Wazee wengi wa CCM wanasiasa za zamani. Siasa za ulaghai laghai huku wakiplay safe. Hawataki kuzua Taharuki. Siasa za kuongea wasiyomaanisha na kisha kurudi kwao wakiwa wameingiza siku. Siasa na porojo za kuishia majukwaani.
Aina ya siasa za Makonda ni za kuzua taharuki. Za kuamsha watu. Za mchakamchaka kama zilivyokuwa za Magufuli.
Mkubali Makonda au usimkubali lakini aina yake ya siasa ndiyo inayoeleweka kwa wananchi kwa sasa. Siasa za Wazee kama Nchimbi na Makalla, siasa za porojo bila kugusa wananchi zimepitwa na wakati.