Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Makonda ni msomaji wa Alama za nyakati kisiasa.....anajua nini watu wanataka, na kwa wakati gani!

Anajua watanzania(walio wengi) hasa nyakati hizi za sasa....ni (low minded)Wana akili ndogo!...

Wanapenda Umbea! ,udaku!, vitu vya kijingajinga! Na takataka za kufanana na hizo!....Ndivyo vitu watu wanapenda!....

Hii imemrahisishia sana kutembea na beat....hajawahi toka nje ya key....!

Kwa hili nampa heko sana!

Ni mtu Fulani anaeonekana kama wa hovyo! Hivi....

Lakini makini!....alieweka umakini katikati ya kundi là wajinga! wachache.... Na si kwamba hajitambui! Anajua anachokifanya.
 
Mnyonge mnyongeni, lkn haki yake mpeni.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.

Ni misemo baadhi ambayo makonda inaweza kumfaa kuelezea namna alivyo. Makonda kama angekua kwenye movie basi ni wale antagonists ambao wanapendwa zaidi hata ya protagonist.

Tuliokaa na watu wa chuga tunajua namna gn hawa watu walivyo wagumu kuwakubali watu wengine. Ila wamemkubali makonda. Huyu kijana ana mvuto wa ajabu sana, siku akigombea uraisi nampa pole atakaesimamishwa nae.

View attachment 2978991View attachment 2978992View attachment 2978993View attachment 2978994View attachment 2978996
😄😄😄😄Namuona kenyonyo kapanda juu ya meza 😄😄😄
 
..Alishindwa vipi na Panya Road ??? [emoji57][emoji57]
 
Poleni sana sweetheart sisi increments kama zote... 😅😅
Wewe engine ya ofisi lazima wakutriple kabisa uko vizuri sana.
Much congratulations love

Uweeee Nasie nkiimesikia kuserereshwa uhakika 😊

Ngoja tuone akizingua mwakani tunamkaanga kwenye ballots 🤭
 
Eti maisha magumu Kwa wafanya kazi falaja Yao ni KENYONYO? TANZANIA IMEKUA KAMA CHANNEL YA COMEDY
 
Viongozi Wetu Wapo Hoi Sana Upeo Wao Umegota Sasa Wanawachukua Wahuni/Waharifu Wajaze Uwanja
 
Back
Top Bottom