Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri wa uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amekiri kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Paul Makonda ni spesho na ni akili kubwa kwelikweli kwani tangu ateuliwe mkoa wa Arusha umekuwa bize sana na kwa muda mfupi ameibua fursa na kutambua makundi mbalimbali ikiwemo wadudu!
Kabla ya Makonda kufika Arusha kundi la wadudu lilitambulika kama wahuni fulani tu na walipuuzwa na watu wote, lakini alipofika Makonda amewageuza wadudu kama fursa ya kutangaza utalii wa mkoa huo.
View: https://youtu.be/G5lDgk8jdcw?si=FkC-T7c1PIgyYbB2
KivipiChawa.

Tafasiri yakoAnamsanifu mwenzake huyu!
Hiyo ni Tafasiri yako 🤣kilaza weeAmekuwa bize sana na kwa muda mfupi ameibua fursa na kutambua makundi mbalimbali ikiwemo wadudu!
Kabla ya Makonda kufika Arusha kundi la wadudu lilitambulika kama wahuni fulani tu na walipuuzwa na watu wote, lakini alipofika Makonda amewageuza wadudu kama fursa ya kutangaza utalii wa mkoa huo.
Zingatia maneno kuwa bize, wahuni, fursa, na utalii.
Watu wanajua kung’ong’a wenzao visogo!
Akikujibu ni tag MkuuAliwekwa kuwa mbunge na nani vile?