Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Nahisi una shida sehemu hapo kichwani.
 
Mungu huyu huyu Sir God wa kwenye Biblia au mungu ng'ombe wa wahindi
 

Jamaa unasifia mpaka unataka kukufuru

Unawajua wapakwa mafuta wa bwana?

Kiongozi kashishwa cheo ndani ya muda mfupi

Sifa unazompa sasa ni kiboko

The way sifa unazompa zingekuwa ni tija nadhan angebakia kwenye nafasi ya uenezi
 
Jamaa unasifia mpaka unataka kukufuru

Unawajua wapakwa mafuta wa bwana?

Kiongozi kashishwa cheo ndani ya muda mfupi

Sifa unazompa sasa ni kiboko

The way sifa unazompa zingekuwa ni tija nadhan angebakia kwenye nafasi ya uenezi
Kashushwaje wewe? Ndani ya CCM unaweza kutolewa uenezi na ukapelekwa kuwa DC au ukatolewa kwenye ukatibu mkuu na kupewa u RC.ndani ya CCM Ni utumishi kwa watu na siyo habari za ukubwa wa cheo. Fahari ya kiongozi na mwana CCM Ni kuwatumikia watu na kuacha alama za kiuongozi.
 
Damu ya Ben Saa Nane ndiyo inamuandama hapati usingizi
 
kiongozi wa karne na nayakati mpya, mwenye maono, uchungu na huruma ya kipekee sana juu ya shida, changamoto na matatizo binafsi na ya jumla ya wanainchi anao waongoza

for sure,
the genlteman is a man of GOD...

GOD bless PAUL CHRISTIAN MAKONDA plans, vision and missions
 

Yah ni kweli, hata makamu mwenyekiti anaweza kuwa mkuu wa wilaya

Uko sahihi kabisa
 
Mpakwa mafuta wa Mashetani.
 
 
Mungu ameagiza ajiuzulu sababu mikono yake imejaa Damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…