Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Njaa itakuja ikuue dogo. Kwa hapa ulipofikia, hata huyo makond wako akitaka kukuweka kinyumba kama mke wake mdogo, naamini utamkubalia tu.
 
Kaka mbona KILA andiko lazima uandike address mwishoni.
 
Makonda ni moja ya watu wenye kujituma sana kwenye serikali zote tokea kuchaguliwa ila mapungufu yake tuweke pembeni.

Mpaka sasa sijasikia UVCCM na chawa wa CCM wakiumuongelea sababu wanajua mabaya yao yanaweza kuwa pigo.

Arusha kaenda kuigeuza mda mfupi.

WAKUU WA MIKOA KAZI YENU JIFUNZENI KWA MAKONDA SASA
 
Kaka yake shetani... 😀 😀 😀
 
Binafsi napenda utendaji kazi wake ..hakuna asiye na mapungufu ila anafiti kila anapopangiwa anaubunifu na kila kazi anayopewa kiasi kwamba anapata attention kubwa kutoka kwa wanachi..natamani siku moja walau aoneshe na kutangaza nia ya uamiri jeshi mkuu sijawqhi kupiga kura ila ntapanga foleni kWa ajili yake hii tz inahitaji watu kama yeye (kwa mtazamo wangu)
 
mutu ya kazi ni kazi kazi tu
 
Reactions: Tui
sasa unaanza kuharibu kama wale wabunge wa sifa.
 
Binafsi siwezi kupoteza muda kummwagia sifa za ukweli au uongo mwanaume mwenzangu mtandaoni.

Zaidi nikikutana naye namweleza mwenyewe tu kama nakubali anachokifanya na akaze buti na kufanya zaidi.
 
Usisahau kumtumia nakala Mama akukumbuke katika teuzi zake!
 
Mleta hoja wewe ni kati ya haya;
1. Mwendawazimu AU
2. Hayawani AU
3. Mlevi mbwa AU
4. Shetwani.
Acha kumdhihaki Mungu muumba Mbingu nas Nchi.

RIP; Ben Sanane & Others
 
Hapa nakuunga mkono

Mengi huwa sikubaliani na wewe, ila kwa kipande hiki, nakuungamkono sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…