Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kumbe na wewe huipendi dhuluma?. Sasa kwann unamfagilia dhulumati Makonda?
 
Jambo moja ambalo anapaswa abadilike upesi ni kukurupuka kutoa uamuzi kwenye mikutano na wananchi, pale upande A unapolalamikia upande B.
Huwa anaamua na kutoa maagizo kabla ya kusikiliza upande mwingine ili kupata uhalisia wa jambo.
Kwa mfano karibuni nimeona video ya mzee mmoja akilalamika kuuzwa kwa nyumba yake kwasababu ya mkopo wa Milioni 3,makonda akakurupuka "askari kamata hao wahusika weka ndani"
Ana uhakika gani deni ni M3?
Amejiridhishaje nyumba ni M50?
Yani ni kukimbilia kutoa uamuzi wa kufurahisha kadamnasi lakini unaweza usimsaidie lolote mlalamikaji pindi mambo yakifika mahakamani
 
Niliwahi kupost jambo kama hili hili siku za nyuma. Viongozi wote waliogeuka kuwa madictator walianza kama watetea haki za wanyonge, na walifanya hayo kwa kutumia matangazo makubwa, huyo Hitler ni mfano halisi. Hapa kwetu Magufuli alifanikiwa sana kwa hilo, na Makonda anafuata nyayo zilezile. Iwapo Makonda atafanikiwa kushika madaraka makubwa, vile vikundi vya watekaji vitarejea waziwazi, na mauaji ya wasiojinyenyekeza kwa viongozi yatarejea kama enzi za magu.
 
Hakuna matatizo serious yanatatuliwa kwa hiyo mbinu ya Makonda, hapo anacheza cheap politics.
 
Kinachomuangusha Makonda ni kisasi amebeba visasi na shida vinampofua utendaji wake

Unakuwa na maigizo mengi kuliko uhalisia kujaribu kutengeneza picha yake iliyqchafuliwa msimu ule
Hivi anavyotatua migogoro na kero za wananchi kwako wewe unaona ni maigizo
Kuna siku mtafikiwa tu nyinyi majizi,mbegu aliyopanda JPM kuna siku itamea tu nchi hii.Migogoro na kero za wananchi anazokabiliana nazo, viongozi wengi wameshindwa.
Mlidai hatoiweza Arusha, sasa mmebaki kutusha shuyuma za kipuuuzi zisizo na maslahi yoyotr kwa wananchi zaidi ya ubinafsi wenu.
 
Reactions: Tui
Hakuna matatizo serious yanatatuliwa kwa hiyo mbinu ya Makonda, hapo anacheza cheap politics.
Matatizo serious ndio yapi hayo yasiyowahusu wananchi au kwakuwa hayakuhusu wewe? Huo ni ubinafsi.Kama wewe huna shida waache wenye shida zao wapate suluhisho.Mimi ni mfaidika wa kampeni za Makonda,nilifanikiwa kupata mirathi ya mzazi wangu niliyoihangaikia for 5 yrs bila mafanikio, lkn Makonda alinisaidia nikafanikiwa kupata akiwa RC wa Dar.
Sasa ukisema anafanya cheap politics nakuona mwendawazimu.
 
Hakuna matatizo serious yanatatuliwa kwa hiyo mbinu ya Makonda, hapo anacheza cheap politics.

Hata haya kwako ni cheap politics kwakuwa hayapo upande wako.
 
Sasa ww si ndio muandaaji wa hizo kiki unategemea Nini?
 
Kwamba hivyo vita vya pili vya Dunia ni propaganda za US ama.? kwa hiyo mageuzi unayoyataka ndio hayo ya kuletwa na huyo muhalifu Makonda?
 
Mambo nini jombaa? sema nini, mazaa kashusha ndonga saizi yetu, huwezi amini asubuhi hii mdudu niko mageroni.

Sema amsha amsha za hivi tulizimiss sana. Mamaa tuachie hii nyusu chuga... Haina kuhama hadi 2030.

Ukiruhusu na kiroba utatisha sana mazaa, utaboost uchumi wetu sana.

#chuga_kama_mbele
 
Mambo nini jombaa? sema nini, mazaa kashusha ndonga saizi yetu, huwezi amini asubuhi hii mdudu niko mageroni.

Sema amsha amsha za hivi tulizimiss sana. Mamaa tuachie hii nyusu chuga... Haina kuhama hadi 2030.

Ukiruhusu na kiroba utatisha sana mazaa, utaboost uchumi wetu sana.

#chuga_kama_mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…