Huu uzi uwe wa kuwaumbua kwa ushahidi usio na mashaka wale wote wanaomtupia mawe Paul Makonda aliyejipambanua kama mtetezi wa wananchi wanyonge na pia kumpa maua yake, hivyo
Kama umewahi kutatuliwa shida yako ngumu na Paul Makonda weka ushuhuda hapa, tuelezee.
Kama kuna ndugu yako, jamaa au rafiki unayemjua binafsi aliyewahi kutatuliwa shida yake ngumu na Paul Makonda weka ushuhuda hapa, tuelezee.
Kama kuna changamoto/kero muhimu ya mtaani kwako iliyowahi kutatuliwa na Paul Makonda weka ushuhuda hapa, tuelezee.
Hembu tuwaonyeshe kwa ushahidi na ushuhuda thabiti wabaya wake kwamba anayofanya kiongozi huyu sio maigizo, hadaa, hearsay na kutafuta kiki tu bali ameacha alama za kweli za historia zisizofutika kwa watu halisi.