Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu Umewiwa kuwaombeni sana watanzania wenzangu kwa moyo wa unyenyekevu na kwa dhati ya Moyo wangu,tumuombee sana kwa kila mmoja kwa imani yake...
Hivi huyu jambazi na muuaji hajafa tu kama muuaji mwenzie jpm? Anasubili nini. Tumechoka kuuawa
 
Kamzalie mtoto aisee
 
Ukiwa na mikono misafi isiyo na damu hakuna shida. Ila kama kuna shida mahali, suluhisho ni kutubu na kuwaomba msamaha wote uliowakwaza na Mungu akubariki.
Mikono ya Mwamba ni safi kabisa na ndio maana anaendelea kuinuliwa na Mungu hata pale maadui zake wanapokuwa wanajuwa wamemumaliza
 
Mkuu with respect my guy
Naomba kuuliza
Hivi huyu mwamba aliclear Ile issue yake ya vyeti iliyovuma miaka kadhaa iliyopita
 
mamaako hua unamuombea? mjomba shangazi? kama hatamuamin Mungu hata muombe vp hakuna kitu, kamwambie ajiombee mwenyewe
 
vyovyote itakavyokua,
ni imani na maombi yangu kwa Mungu kwamba,

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na kijana huyu hodari, mchapakazi makini na asie kata tamaa Paul Christian Makonda daima..
Aimen 🙏
 
kigamboni wanamlilia makonda, kuna vijana zaidi ya miatano wakiwemo bodaboda mamalishe waendesha bajaj na madereva wa daladala wanajipanga kwenda kumpelekea fedha za kuchukulia form,

wazee wa kigamboni nao wana jambo lao siku si nyingi wataendesha dua maalum la kumwombea siha njema na kumshawishi akubali kugombea ubunge, wasanii aliowapa viwanja hadi leo hata kuchongwa barabara ya kupelekea vifaa vya ujenzi imeshindikana, wanayo matumaini akirudi kigamboni basi atatimiza azma yake ya kuhakikisha wanamiliki nyumba za ndoto zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…