Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu Umewiwa kuwaombeni sana watanzania wenzangu kwa moyo wa unyenyekevu na kwa dhati ya Moyo wangu,tumuombee sana kwa kila mmoja kwa imani yake...
Hivi huyu jambazi na muuaji hajafa tu kama muuaji mwenzie jpm? Anasubili nini. Tumechoka kuuawa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu Umewiwa kuwaombeni sana watanzania wenzangu kwa moyo wa unyenyekevu na kwa dhati ya Moyo wangu,tumuombee sana kwa kila mmoja kwa imani yake.

Nayasema haya kwa kuwa natambua wazi Kuwa watu Majasiri ,wakweli, wazalendo , wachapakazi na walionyooka kama rula katika kuwatetea wanyonge na waliojitoa na kujitolea maisha yao kwa ajili ya maisha ya wanyonge kama afanyavyo Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda huwa wanakuwa na maadui wengi sana.

Huwa wanachukiwa sana ,kupigwa vita,kuwindwa,kuombewa mabaya,kusingiziwa,kuchafuliwa,kupigwa Majungu na kila aina ya vita ya kuwanyong'onyesha ,kuwavunja moyo,kuwakatisha tamaa na kuwavuruga ili wasiendelee na mapambano na juhudi za kuwatetea wanyonge.

Ni lazima watanzania tufahamu ya kuwa kuwapata watu na viongozi Majasiri waliopindukia aina ya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda siyo jambo jepesi wala rahisi. Mtu aina ya Mwamba Makonda hajatengenezwa kuwa na ujasiri alio nao,bali ni kipawa na uwezo aliopewa na Mungu tangia kuzaliwa kwake. Amezaliwa akiwa hivyo na atakuwa hivyo mpaka siku yake ya Mwisho kuwepo kwake hapa Duniani.habadiliki na hawezi kubadilishwa na mtu yeyote yule kuacha asili yake ya ujasiri uliopo katika kifua chake.

Kama majasiri wangekuwa wanatengenezwa basi tungesema tutengeneze Miamba mingine Mingi aina ya Mwamba Makonda,lakini kwa Kuwa hawatengenezwi ndio Maana Mwamba Mwenyewe Makonda anabakia kama kijana jasiri sana kusini Mwa jangwa la Sahara.

Napenda kusema kuwa wanaomchukia na kumpiga vita Mwamba Makonda,wanafanya hivyo kwa sababu ya kitu alicho beba ndani yake. Wanajuwa kuwa huyu Mwamba ni hazina kwa Taifa,ni tishio kwa ndoto zao za baadaye,ni kipenzi cha watanzania,anakubalika na mamilioni ya watanzania.

Napenda kuwarejesheni katika Biblia kuwa Pharao aliagiza kila akizaliwa mtoto wa kiume auawe.unafikiri ni kwanini? Ni kwa sababu Pharao aliona kitu kilichobebwa na miongoni mwa mtoto wa kiume atakayezaliwa ambaye alikuwa ni Musa.

Nenda kasome habari za Herode na kuzaliwa kwa yesu.Unafikiri ni kwanini pia Yesu aliwindwa mpaka ikabidi aende afichwe mafichoni? Jibu ni kwa kutokana na kitu alichokuwa amekibeba ndani yake.

Kwa hiyo watu wanaweza wakakuchukia sana ,siyo kwa sababu umewakosea kiti bali ni kwa sababu ya kitu ulichokibeba ndani yako ambacho tayari wafu wengine wameshaona katika ulimwengu wa kiroho na kuona namna utakavyokuja kuwa tishio katika safari yao au nafasi zao au ndoto zao za baadaye.

Kwa hiyo napenda kuwaombeni sana Watanzania wenzangu kuwa tumuombeeni sana Mwamba Makonda Kimaombi .Mwamba ni hazina kwa Taifa letu.Ndio Maana Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameendelea kumuamini na kumpatia Arusha kuiongoza.

Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda chapa kazi Mwamba,songa mbele Mwamba,Mungu yupo pamoja na wewe na wala hata kuacha wala kukupungukia .Utalindwa na Mkono hodari wa Mwenyezi Mungu.Mungu asema uwe hodari na Moyo Wa ushujaa. Mungu wa Ibrahimu,ISaka na Yakobo ataendelea kuwa pamoja nawe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kamzalie mtoto aisee
 
Ukiwa na mikono misafi isiyo na damu hakuna shida. Ila kama kuna shida mahali, suluhisho ni kutubu na kuwaomba msamaha wote uliowakwaza na Mungu akubariki.
Mikono ya Mwamba ni safi kabisa na ndio maana anaendelea kuinuliwa na Mungu hata pale maadui zake wanapokuwa wanajuwa wamemumaliza
 
Mkuu with respect my guy
Naomba kuuliza
Hivi huyu mwamba aliclear Ile issue yake ya vyeti iliyovuma miaka kadhaa iliyopita
 
IMG_20240815_220453_818.jpg
 
mamaako hua unamuombea? mjomba shangazi? kama hatamuamin Mungu hata muombe vp hakuna kitu, kamwambie ajiombee mwenyewe
 
Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu Umewiwa kuwaombeni sana watanzania wenzangu kwa moyo wa unyenyekevu na kwa dhati ya Moyo wangu,tumuombee sana kwa kila mmoja kwa imani yake Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda.

Nayasema haya kwa kuwa natambua wazi Kuwa watu Majasiri ,wakweli, wazalendo , wachapakazi na walionyooka kama rula katika kuwatetea wanyonge na waliojitoa na kujitolea maisha yao kwa ajili ya maisha ya wanyonge kama afanyavyo Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda huwa wanakuwa na maadui wengi sana.

Huwa wanachukiwa sana ,kupigwa vita,kuwindwa,kuombewa mabaya,kusingiziwa,kuchafuliwa,kupigwa Majungu na kila aina ya vita ya kuwanyong'onyesha ,kuwavunja moyo,kuwakatisha tamaa na kuwavuruga ili wasiendelee na mapambano na juhudi za kuwatetea wanyonge.

Ni lazima watanzania tufahamu ya kuwa kuwapata watu na viongozi Majasiri waliopindukia aina ya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda siyo jambo jepesi wala rahisi. Mtu aina ya Mwamba Makonda hajatengenezwa kuwa na ujasiri alio nao,bali ni kipawa na uwezo aliopewa na Mungu tangia kuzaliwa kwake. Amezaliwa akiwa hivyo na atakuwa hivyo mpaka siku yake ya Mwisho kuwepo kwake hapa Duniani.habadiliki na hawezi kubadilishwa na mtu yeyote yule kuacha asili yake ya ujasiri uliopo katika kifua chake.

Kama majasiri wangekuwa wanatengenezwa kirahisi basi tungesema tutengeneze Miamba mingine Mingi aina ya Mwamba Makonda,lakini kwa Kuwa hawatengenezwi ndio Maana Mwamba Mwenyewe Makonda anabakia kama kijana jasiri sana kusini Mwa jangwa la Sahara.

Napenda kusema kuwa wanaomchukia na kumpiga vita Mwamba Makonda,wanafanya hivyo kwa sababu ya kitu alicho beba ndani yake. Wanajuwa kuwa huyu Mwamba ni hazina kwa Taifa,ni tishio kwa ndoto zao za baadaye,ni kipenzi cha watanzania,anakubalika na kupendwa na mamilioni ya watanzania.

Napenda kuwarejesheni katika Biblia kuwa Pharao aliagiza kila akizaliwa mtoto wa kiume auawe.unafikiri ni kwanini? Ni kwa sababu Pharao aliona kitu kilichobebwa na miongoni mwa mtoto wa kiume atakayezaliwa ambaye alikuwa ni Musa.

Nenda kasome habari za Herode na kuzaliwa kwa yesu.Unafikiri ni kwanini pia Yesu aliwindwa mpaka ikabidi aende afichwe mafichoni? Jibu ni kwa kutokana na kitu alichokuwa amekibeba ndani yake.

Kwa hiyo watu wanaweza wakakuchukia sana ,siyo kwa sababu umewakosea kitu bali ni kwa sababu ya kitu ulichokibeba ndani yako ambacho tayari watu wengine wameshaona katika ulimwengu wa kiroho na kuona namna utakavyokuja kuwa tishio katika safari yao au nafasi zao au ndoto zao za baadaye.

Kwa hiyo napenda kuwaombeni sana Watanzania wenzangu kuwa tumuombeeni sana Mwamba Makonda Kimaombi .Mwamba ni hazina kwa Taifa letu.Ndio Maana Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameendelea kumuamini na kumpatia Arusha kuiongoza.

Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda chapa kazi Mwamba,songa mbele Mwamba,Mungu yupo pamoja na wewe na wala hata kuacha wala kukupungukia .Utalindwa na Mkono hodari wa Mwenyezi Mungu.Mungu asema uwe hodari na Moyo Wa ushujaa. Mungu wa Ibrahimu,ISaka na Yakobo ataendelea kuwa pamoja nawe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
vyovyote itakavyokua,
ni imani na maombi yangu kwa Mungu kwamba,

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na kijana huyu hodari, mchapakazi makini na asie kata tamaa Paul Christian Makonda daima..
Aimen 🙏
 
kigamboni wanamlilia makonda, kuna vijana zaidi ya miatano wakiwemo bodaboda mamalishe waendesha bajaj na madereva wa daladala wanajipanga kwenda kumpelekea fedha za kuchukulia form,

wazee wa kigamboni nao wana jambo lao siku si nyingi wataendesha dua maalum la kumwombea siha njema na kumshawishi akubali kugombea ubunge, wasanii aliowapa viwanja hadi leo hata kuchongwa barabara ya kupelekea vifaa vya ujenzi imeshindikana, wanayo matumaini akirudi kigamboni basi atatimiza azma yake ya kuhakikisha wanamiliki nyumba za ndoto zao
 
Back
Top Bottom