Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Hii analysis umeifanyia wapi kuwa makonda hapendwi,kuanzisha uzi wa kumponda ndo kipimo cha makonda kutopendwa? Wapiga kelele wa mitandaoni hawafiki hata 100 nenda mitaaani uulize habari za makonda
Anapendwa na wajinga ambao ndiy mtaji wa chama chake
 
Atakusikia basi? Anatiwa uoga ili aogope yasiyokuwepo
Cc. Misiba
 
Nimeweka video hapa ambayo ina maneno ya Gwajima na maneno ya Makonda.

Tazama mwenyewe.

Your browser is not able to display this video.
 
Kifupi things fall apart mwamba anatumia nguvu nyingi huu ni muendelezo wa kauli aliyoitoa kwenye mapokezi ya ndege kabla hajafurushwa sasa what will be next movie inaonekana yuko very organised na plan anayoyafanya sio bahati mbaya,ukirejea nyuma pia alipokua mwenezi kuna kauli alishazitoa inaonekana kuna watu anawawinda kwa interest zake binafsi ili kujikusanyia nguvu na ushawishi hivyo asipotazamwa ndio anaenda kua ticket ya anguko kubwa la wanamkumbatia,anaonekana yuko na siri nyingi na ogopa sana watu kitu kidogo wametaja Mungu Mungu nakujifanya wako karibu kiimani wengi wao huficha uovu wao kupitia hizi imani ni mashetani by default na washirikina wakubwa sana na wanategemea nguvu za giza let's see tunakula 🍿 🍿 🍿 kutazama movie
 
1. Leadership qualities: A good strong president should possess strong leadership skills and be able to effectively guide and inspire the citizens of the country.

2. Integrity and honesty: A strong president should be honest, transparent, and have a high level of integrity in their actions and decisions.

3. Communication skills: Effective communication is key for a president to convey their message and policies to the public and other government officials.

4. Decision-making skills: A strong president should have the ability to make tough decisions in a timely manner, while considering their long-term impact on the country.

5. Diplomacy and negotiation skills: Diplomatic skills are essential for a president to navigate international relations and negotiate with other world leaders.

6. Emotional intelligence: A good president should have the ability to understand and manage their own emotions, as well as empathize with others.

7. Strategic thinking: A strong president should be able to think critically and strategically in order to develop and implement effective policies.

8. Commitment to the welfare of the country: A good president should prioritize the well-being of the country and its citizens above personal or political interests.

9. Ability to work collaboratively: A strong president should be able to work with a diverse group of people, including other government officials, stakeholders, and the public, to achieve common goals.

10. Resilience and determination: Leading a country can be a challenging and demanding role, so a good president should have the resilience and determination to persevere in the face of adversity.
 
Makonda, anajua, inshu za, ndani Sana. Ngoja niishie hapo
 

Najiona nina yote hayo

💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🤗
 
Najiona nina yote hayo

💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🤗
A leader can see these characteristics in themselves, but it is also often helpful to have feedback from the people around them. Others may be able to provide a different perspective and offer insight into areas that the leader may not be aware of. Ultimately, self-awareness and feedback from others are both important in understanding one's own leadership traits.
 

Kama wapo kweli kwanini asiseme

Wewe unaogopa nini kama huusiki

Shida yenu mnakimbia vivuli vyenu

Hajatamka bahati mbaya

Wapo hadi mnaosema Ajuza anachukua form ya nini tena

Ila mkiwa mbele yake ni kumpa SIFA na anaupiga mwingi wa kinafiki, Huku mkiwa kando mnasema huyu mama anaidumbukiza nchi kwenye shimo na hajui anachokifanya

Hana purpose

CCM wanafiki sana hasa hawa vijana wazee wnaauchu na ile nafasi ya Mama hatari

Worst enough wengi wenu mtazeeka na hamtoupata urais
 
Ni kweli unampenda Sana Makonda, na hii huwa inatokea mtu fulani kumpenda mtu fulani automatic, inatokana na ku share spiritual rim, njozi na maono ya pamoja.

Ni kweli Makonda kwako ni kijana mtiifu na mnyenyekevu amekuwa hivyo tangu akiwa Mkuu wa Mkoa, alipotoka, alipokuwa mwenezi na sasa Mkuu wa Mkoa Arusha
Kwako binafsi hakuna baya lolote alilofanya na sababu unampenda hata akifanya kosa kwako huwa ni kosa dogo la utoto ambapo unaamini atajirekebisha

Madhara ya tabia za Makonda na consistence ya tabia hizo

1. Hulka ya kupenda ukuu, cheo na sifa:

a) ilianza kuonekana alipokuwa Mkuu wa Mkoa alijilinganisha na mawaziri na kuonekana mawaziri hawana lolote dhidi yake Mkuu wa Mkoa, kuna wakati alikua na msafara mkubwa kuliko waziri Mkuu na Makamu wa Rais.

Hulka hio ameendelea nayo alipokuwa mwenezi, alimdharau RC Chalamila mbele ya Kadamnasi, akamwagiza Waziri Mkuu Majaliwa kama yeye ndio Mkuu wa Chama, akifanya hivyo kwa mawaziri na ikapelekea baadhi yao kutokubaliana nae yupo Bashe ambaye alitoka hadharani kuonesha kutokukubaliana na maagizo ya Makonda swali je Cheo Cha katibu Mwenezi ni Command kwa Waziri Mkuu na Mawaziri .. Hilo nakuachia wewe Kadinali Pengo ujibu.

B. Akajipa msafara wa magari na kuwa yeye ndiye mtu anayewindwa Sana auwawe mara afanye ziara mkoani alale Dar kwa Maaskofu.

C. Akagoma kufuata maelekezo ya Katibu Mkuu Comred Nchimbi, Kadinali wewe unajua Askofu Mkuu wa Jimbo ndiyo mkuu wako wa kazi kama wewe ni padri au askofu msaidizi sharti ufuate maelekezo yake, kazi yako inakuwa kupeleka ushauri na mapendekezo na kuomba kibali cha utekelezaji. Makonda hakutaka kufuata uratibu wa kawaida kuwa ndani ya Chama Yuko chini ya Katibu Mkuu, Bali yeye alitaka ndio asikulizwe na aongoze, kwa kuwa hakuwa cooperative hii kitu imekisumbua Sana Chama ndipo Rais kaona isiwe tabu ampe ukuu wa Mkoa kwa sababu ni dhahili anagombana na kila mtu ndani ya Chama.

d. Imetokea tena alipofika Arusha, kujikusanyia Msafara wa Magari, Gari yake ya RC tena yenye bendera kupakia watoto wake (watu wa protocol wanaelewa zaidi je bendera na plate namba yenye cheo fulani inaweza kutumika ndivyo sivyo..?)

haya Leo tena kutuhumu mawaziri kuwa wanamtukana Rais hili jambo limefedhehesha Baraza la mawaziri, nchi na vyombo kwa ujumla, je ni kuwajulisha mawaziri kuwa hawezi kuwatii sababu kimsingi mkuu wa mkoa si mkubwa kwa Waziri ndio mana yuko chini ya Tamisemi. Kwan kauli hio Makonda kajitwalia uwaziri Mkuu wake na kuonesha baadhi ya mawaziri hawana hadhi ya kumtuma kwa kile tuu yeye anawaona wanamtusi Rais wa JMT

Hii tabia yake ya Ufitini, uchonganishi, kupenda madaraka, uzushi na uongo bado kwako Kadinali unaonaje ni makosa madogo....?
Vipi kwa Baraza la mawaziri wanaichukuliaje na wanamchukuliaje kijana wako kipenzi?

Viongozi wanaishi kwa kuheshimiana hata kama hawajakubaliana, mfano Kinana na Nchimbi, wapo washindanu January na Mwigulu wote hao si kitu kimoja lakini wanaishi kwa kuheshimiana bila kuvuka mipaka

Uungwana ni kitendo
Kama Kadinali utamwacha Makonda na tabia hizi lambda kwako ndio sifa za uongozi, Sisi tunasema Yetu Macho
 
Nyie ndio mnataka kuleta fitina

Mbona hata Samia huwa analalamikaga sana Kuna watu wanampiga vita ndani ya CCM
(hapo vipi)

Acheni uchochezi
Alichokisema makonda ni sahihi
 
Ukitaka kukanusha nilichokiandika juu ya msimamo wa Magufuli, unapaswa kuonesha alimteua nani, halafu useme sasa Makonda alikataliwa kwasababu kadhaa na kadhaa.
 
Nina uhakika hata mteuzi anajuta na kuona aibu mbele ya wenzake,nimeangalia kwenye hafla ya kumbukizi ya Sokoine japo wamekaa karibu na JK lakini ni dhahiri nyuso zao hazina furaha ni kama wamenuniana.
Makonda ni jeuri na hana adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…