Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na watanzania wengi tunamuheshimuPengo aliyeukataa waraka wa Katoliki na kuwasaliti wenzake unadhani atakusikiliza wewe?
Hayo ni maneno ya mtaani tuuUkadinali wenyewe aliupata kwa kulala makaburini
Adabu haifundishwi ukubwaniNina uhakika hata mteuzi anajuta na kuona aibu mbele ya wenzake,nimeangalia kwenye hafla ya kumbukizi ya Sokoine japo wamekaa karibu na JK lakini ni dhahiri nyuso zao hazina furaha ni kama wamenuniana.
Makonda ni jeuri na hana adabu.
Ndio Maana nimemjulisha Kadinali kwa kuwa Makonda ni kijana wake
Takataka huyo tukupe historia yake kwamba hata vibuyu anavyo?Hayo ni maneno ya mtaani tuu
Mzee ni mtumishi wa Mungu
TEC ndiyo nini?Wee thubutu , TEC nzima imekubali Makonda, Mimi ni mkubali Makonda,,, wee useme anakubalika na wajinga?.
Mjinga niwewe.
Ni lini TEC ilimkubali hutu hayawani Zerobrain?Wee thubutu , TEC nzima imekubali Makonda, Mimi ni mkubali Makonda,,, wee useme anakubalika na wajinga?.
Mjinga niwewe.
Em ngoja tuone kunakuchaje...Ni wazi kuanzia Oktoba 2023 akiwa Katibu wa Itikadi na Uwenezi wa CCM na hatimaye kuwa RC Arusha kuanzia April 2024, tumeshuhudia kauli nyingi chafu kutoka kwa Makonda kwenda kwa wateule wako.
Haokutosha tu, Makonda aliweza hata kuudhalilosha mhimili wa Mahakama.
Yaani huyu Makonda anaweza kuwa na TAARIFA za ndani kuliko TISS wenye kazi yao?
Kama ambavyo akiwa Mwenezi wa CCM hakujua majukumu yake, huku nako kwenye u RC wa Arusha bado Makonda hajui kazi yake.
USHAURI KWA RAIS SAMIA:
Chonde chonde Rais Samia USIINGIE mtego huu wa Makonda. Huyu NI ZEROBRAIN atakuharibia uRais wako.
Haiba yako Rais Samia na ya Makonda haziendani. Wewe ni muungwana na mpenda haki na uhuru wa maoni. Huyu ananuka damu za watu aliowaua na anatamani na wewe umruhusu aanze kuteka na kuua.
Piga chini, muache na maisha yake maana hata Magufuli aliyemleta mwaka 2016 kama RC Dar alikuja akamchoka na akamtema mwaka 2020.
Pengo ni mnafiki wa kiwango cha Dreamliner. Wakati wa Magufuli hakuwahi hata siku moja kumsihi aache kuua watu na kunyang'anya fedha za wafanya biashara. Ila saa hizi Magufuli amesepeshwa jehanam ndiyo ameanza kujifanya eti mtoa ushauri kwa serikali
Yaani wewe una ukuu gani wa kuchagua nani awepo kwenye misa na nani asiwepo? Unahoji uwepo wa Kadinali Pengo kwenye misa ya Kikatoliki ya Kumbukumbu ya Sokoine?Nilikuwa najiuliza huyu Mzee na umri wake wote, kafuata nini Arusha?
A leader can see these characteristics in themselves, but it is also often helpful to have feedback from the people around them. Others may be able to provide a different perspective and offer insight into areas that the leader may not be aware of. Ultimately, self-awareness and feedback from others are both important in understanding one's own leadership traits.
Kwani kijijini kwenu huwa hakuna wajinga?Today JF is all about Makonda makonda
Makonda makonda
Duuh
Umeanza ujinga wako?Nukuu maneno tuyasome.. au lete aliyoandika.
Makonda oyeee
Kazi iendelee