Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Pengo aliyeukataa waraka wa Katoliki na kuwasaliti wenzake unadhani atakusikiliza wewe?
Mimi na watanzania wengi tunamuheshimu
Kwan maisha take hapa duniani tunaona ni baraka lakini tunayo nafasi ya kimwambia
 
Akiwa anabarikiwa kuukalia ...


1712955975937.png
 
Nina uhakika hata mteuzi anajuta na kuona aibu mbele ya wenzake,nimeangalia kwenye hafla ya kumbukizi ya Sokoine japo wamekaa karibu na JK lakini ni dhahiri nyuso zao hazina furaha ni kama wamenuniana.
Makonda ni jeuri na hana adabu.
Adabu haifundishwi ukubwani
Utii na kujishusha sio unyonge
Hekima ni kujua wapi pa kuongea Jambo gani
Kiburi jeuri majuto ni mjukuu
 
Huwezi kutumia madaraka yako vizuri kama hujui kwanini umewekwa hapo.

Makonda ni kiongozi anayejielewa hajui unafiki.

Anasema jambo kwaajili ya kusaidia jamii yake. Yupo kwaajili ya jamii na ndio maana anapendwa na watu.

Ukitaka nawewe kupendwa jitoe fanya mambo kwaajili ya jamii yako.

Huwezi kujitoa endelea kula hela za serikali kwa urefu wa kamba lakini swala kupendwa na watu utalisikia kwenye bomba.

Hakuna kitu cha bure hapa duniani. Ukitaka kupendwa lazima ujitoe kwa watu wako na kuamua kuwatumikia wao watakupenda tu. Unataka upendwe huku unakula pesa zote peke yako wananchi wako wanateseka. Hilo sahau.

Zaidi utaendelea kujawa na wivu kila ukiomwona makonda kashika mic mwisho pressure hiyo hapo.

Ndio
 
Ni wazi kuanzia Oktoba 2023 akiwa Katibu wa Itikadi na Uwenezi wa CCM na hatimaye kuwa RC Arusha kuanzia April 2024, tumeshuhudia kauli nyingi chafu kutoka kwa Makonda kwenda kwa wateule wako.

Haokutosha tu, Makonda aliweza hata kuudhalilosha mhimili wa Mahakama.

Yaani huyu Makonda anaweza kuwa na TAARIFA za ndani kuliko TISS wenye kazi yao?

Kama ambavyo akiwa Mwenezi wa CCM hakujua majukumu yake, huku nako kwenye u RC wa Arusha bado Makonda hajui kazi yake.

USHAURI KWA RAIS SAMIA:
Chonde chonde Rais Samia USIINGIE mtego huu wa Makonda. Huyu NI ZEROBRAIN atakuharibia uRais wako.

Haiba yako Rais Samia na ya Makonda haziendani. Wewe ni muungwana na mpenda haki na uhuru wa maoni. Huyu ananuka damu za watu aliowaua na anatamani na wewe umruhusu aanze kuteka na kuua.

Piga chini, muache na maisha yake maana hata Magufuli aliyemleta mwaka 2016 kama RC Dar alikuja akamchoka na akamtema mwaka 2020.
Em ngoja tuone kunakuchaje...
Huyu Makonda akisurvive next 12 hrs..

Basi hatuna Nchi.
 
Akiwa anabarikiwa kuukalia ...


View attachment 2961927
Pengo ni mnafiki wa kiwango cha Dreamliner. Wakati wa Magufuli hakuwahi hata siku moja kumsihi aache kuua watu na kunyang'anya fedha za wafanya biashara. Ila saa hizi Magufuli amesepeshwa jehanam ndiyo ameanza kujifanya eti mtoa ushauri kwa serikali

Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu Yeremia 15:7. Musiba ha wenzie hakutegemea kama DIKTETA MAGUFULI angeweza kufa au kutoka madarakani

Halafu Cardinal wangu ndiyo mnafiki kupindukia. Kuna siku alisema, nanukuu;

"Nashukuru sasa kuna watu ambao wanaweza ku takeover uRais wa Tanzania baada ya Magufuli, kabla sijamuona MAKONDA nilikuwa na wasiwasi sana"
 
Nilikuwa najiuliza huyu Mzee na umri wake wote, kafuata nini Arusha?
Yaani wewe una ukuu gani wa kuchagua nani awepo kwenye misa na nani asiwepo? Unahoji uwepo wa Kadinali Pengo kwenye misa ya Kikatoliki ya Kumbukumbu ya Sokoine?
 
Nukuu maneno tuyasome.. au lete aliyoandika.

Makonda oyeee
Kazi iendelee
 
A leader can see these characteristics in themselves, but it is also often helpful to have feedback from the people around them. Others may be able to provide a different perspective and offer insight into areas that the leader may not be aware of. Ultimately, self-awareness and feedback from others are both important in understanding one's own leadership traits.

Najiona nina yote hayo umeendelea kuandika

💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🤗
 
  • Kicheko
Reactions: rr4
Back
Top Bottom