Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kwa utafiti upi?
 
Kwa sababu wa chini ya umri huo Bado nyie Mko kwenye foolish age mnaongozwa na mihemko na ni rahisi kuwa manipulated na Wanasiasa wanaojua siasa za ulaghai kama kina Makonda and the likes.

Kuanzia umri huo ni watu waliopevuka wanajua nyie wajinga mnafanywa ngazi huku mnachekelea Kwa sababu hamjitambui.
 
Ana matatizo ya akili.
 
Hivi ni lini mtaniheshimisha na hata Kunijengea Mnara wangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums? Mna uhakika kuwa sikuwahi Kuanzisha Uzi hapa hapa JamiiFoums tena nikisema na kuna mahala nikayafumba Majina ya hawa hawa waliotajwa jana na Makonda na baadhi ya Intelligent Members hapa wakayajua?

Mna uhakika kabisa hakuna Uzi hapa JamiiForums wa mwaka Juzi au mwaka Jana ambao GENTAMYCINE niliuandika tena kwa kumtaka Mheshimiwa Rais Samia awe makini sana na Watu wanaomzunguka na kumtaka awe nao makini na tena Kimafumbo kabisa na hadi kule Kijiweni Kwao Mbezi Beach wanakokaaga nikawataja?

Nasisitiza tena kubalini tu kuwa kuna Watu wengine hapa duniani hatukubarikiwa tu Akili Kubwa bali tuna Maono pia. Hivi mnadhani GENTAMYCINE kuwa na Signature yangu hii pendwa na Tukuka ya "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Enterainer" nilikurupuka tu? Signature yangu inaelezea Uhalisia wangu.
 
Katiba ya Tanzania inatamka na kutambua kuwa Rais ndiye mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu na mtendaji mkuu wa Serikali yeye ni mwenye mamlaka makubwa katika nchi hii anaweza kuwa symbolic leader(queen) kulingana na katiba yetu.

Inasikitisha sana kuona mtu wa kwenye chama chako ambaye pia amekuajiri unamkebehi na kumfanyia dhihaka pamoja na matusi hivi hata kama unajiona wewe ndiyo baba ako,babu au bibi yako amemuweka rais kwenye hicho kiti haimaanishi kumtukana YEYE umeitukana mamlaka aliyopewa na umewatukana watanzania wote.

Hili la Makonda siyo kwamba jamaa karopoka hapana ila toka Rais alipoingia madarakani naye alituma ujumbe wengi wanafikiria kuhusu kina bashiru ila ukweli lipo kundi jengine ambalo lipo against na MAMA hivyo nadhani kuna watu watajifanya kumsema Makonda ila ukweli usemwe jamaa yupo sahihi.

NAWASILISHA.
 
Una elimu gani?
Uliipata wapi?
Mwaka gani?
Matokeo yako yalikuaje?
2. Ulishawahi kufanya utafiti? Lini wapi? Lengo na madhumuni ya utafiti wako ilikuwa nn?
3. Uliwahoji watu wangapi?
Najua huwezi kujibu hayo maswali. Wewe ni ka UVCCM kadogo kapo kanafagia choo hapo lumumba
 
Atafutiwe li-pampas likubwa avalishwe huyu bwana.
 
Kwa mfumo wa CCM Rais 2025- 2030 ni Samia tu. Labda aseme yeye hapana! Hilo sio jambo linalohitaji mjadala.

Kuhusu Makonda yeye kujadiliwa ni uthibitisho kuwa hafai na ni aibu kwa mtu anayemkumbatia.
Uzi ufungwe. Umemaliza hoja zote
 
Mhe. Rais Mkuu wa Mkoa wa Arusha hakufai ni bora umtumbue
Kiukweli Makonda hatochukua muda kwenye huo uRC, atatumbuliwa tu.

Makonda akimaliza miezi 6 kwenye uRC nitakunya kwenye daladala.
 
Wee thubutu...Nyie wapuuzi wachache mnaolipwa na Makambanape ,ndo mpo mitandao.

Peleka huko uongooo wako lione, kitu zimaa liongoooo


Mikutano ya Makonda akiwa Mwenezi, bila kua na Msanii hata Mmoja, alijaza, hakujaza????
 
We mjinga pengine hujui maana ya siasa. Wakati ule Januari jr anamtukana Jpm kwa vikatuni alikuwa anaviweka ikulu!? Kwanini hamtaki kukukubali kwamba Makamba jr na Nape ndo wanamtukana Rais?
Kwenye rangi nyekundu 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…