Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Mwogope sana mtu anaekuambia mimi sili rushwa
Ukisikia hivyo basi ujue ndio mlafi haswa tena atauwa kwa tamaa
Tumeona wengi maofisini, ukiingia tu kakunja uso kukuonesha hapa kazi tu kumbe hapa mlo tu
 
Mtego Gani ? Kwani Arusha siyo Tanzania ?
 
Kwani ana uspesho gani ambao ni lazima apewa hata huo Ubalozi?

Kumbe Huwa anamponda SSH ila majukwaani anajifanya anamkubali si ndio?

Mwisho Arusha Haina upekee wowote Wala watu wake hawana jipya ni upunguani wako tuu usio na maana umeandika,Bora hata ungesema Mbeya Kwa watata huko Kwa walevi na wavuta bangi na Mashoga ni sifuri.
 
Acha wivu
 
Mtu kama hajawai fika Arusha anaweza akadhani ni sehemu kubwa na ya kipekee kweli au akadhani sijui Arusha kuna jambo gani jipya kumbe hakuna ni ushamba tuu hakuna lolote😂😂😂😂😂
😁😁😁
 
Balozi ni lazima akubaliwe na nchi unakompeleka.

Sasa Kwa tabia za Makonda nchi nyingi zinazojitambuwa hawezi kukubaliwa itakuwa ni aibu Kwa Rais unateuwa mtu, vetting ya foreign country inamkataa ni fedhea kubwa.

Tatizo wanalo hao wanaomfuga ndio maana mama sasa ameshaanza kuyakoga matusi, ni matusi anayataka mwenyewe Kwa kukumbatia watu washenzi kama huyo Makonda.
 
Unamkanya wewe kama nani?
 
Wana nini hao ? Arusha overated hizo bangi zao zitatulizwa tu.
Ukienda kwa mbwembwe Morogoro, na kujifanya mjuaji kuliko wale waluguru wa milimani, wenye mji wao watakurudisha kwa aliyekuleta
 
Ubalozini ? Ataingia na punda au msululu wa magari kama muvi za kihindi. Labda ubalozi hukoo Togo
 
Ninachofahamu kuhusiana na Arusha watu wa kule ni wastaarabu ukionyesha ustaarabu. Ni wabaya ukionyesha ubaya. Ni watu wa haki ukionyesha haki.

Hawanaga Utamaduni wa kumuogopa mtu hata akiwa kiongozi.
 
Mtu kama hajawai fika Arusha anaweza akadhani ni sehemu kubwa na ya kipekee kweli au akadhani sijui Arusha kuna jambo gani jipya kumbe hakuna ni ushamba tuu hakuna lolote😂😂😂😂😂
Fact mkuu
 
Ninachofahamu kuhusiana na Arusha watu wa kule ni wastaarabu ukionyesha ustaarabu. Ni wabaya ukionyesha ubaya. Ni watu wa haki ukionyesha haki.

Hawanaga Utamaduni wa kumuogopa mtu hata akiwa kiongozi.
Shida ya kule ni kwamba kila mtu anaijua hela, atapata shida kama atatibua mifumo ya watu kujipigia hela zao ila anyways, awe makini.
 
Usisahau CV
 
Inawezekana lakini mbona Mrisho Gambo alitembea nao vizuri maana sioni tofauti kubwa kati ya Makonda na Gambo(kama itakuepo ni kidogo sana)
 
Lema amekutuma umsemehe

Tulieni bashite ainyooshe arusha
 
Naona kama amepanda cheo vile! Mwanzoni hakuwa mtawala, sasa ni mtawala, namaanisha yeye ni Samia wa Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…