Hawakujua utafanya mambo makubwa yote haya, Umekamilisha Miradi hata iliyoshindikana, Umetekeleza miradi kila kata ya Nchi hii, umewapa uhuru raia, vyombo vya habari na online media zote za kijamii, Unawasomesha watoto wao chekechea mpaka vyuo vikuu, barabara kila kijiji, Sekta za uzalishaji zote umeziongezea fedha, umefufua uchumi, umeifungua nchi, umejijengea heshima Duniani kote, BUT hawajataka kuona mazuri yote haya na mengine, sio kwa bahati mbaya.
Tulijua kuwa kutakuwepo na njama za kukuchafua sana mwaka 2024 na 2025, Tunajua Kwenye mikakati yao bado watakuja na mengine ya uongouongo hivi hivi. HATUTAKUBALI KUYUMBISHWA, TUTAPAMBANA NA WANAOTUMWA NA WANAOWATUMA. (Kaandika haya katika Ukurasa wake wa Mtandao wa X juzi )
Hivi ni kwanini lakini nyie Wateule wa Rais Samia mnapenda sana Kumsanifu Mama wa Watu kwa Kujifanya Mnampenda wakati Kutwa tu huwa mnakusanyika Kijiweni Kwenu pale Mbezi Beach na Kumsengenya? Yaani Makonda na Nchemba hii Vita yenu ya Urais wa 2030 huku Mkipambanisha Makundi yenu mtamuharibia Mama wa Watu.
Rais Samia wenye Akili Kubwa tulikuonya sana tu achana na hawa Watu Wawili pamoja na Wenzao wengine Wawili kwani ndiyo Wanakuumiza na Wanakusakizia Ubaya na Chuki kwa Wananchi hutaki Kusikia kwakuwa tu Nchemba anajua kuandika Proposals nzuri kwa Wazungu ambazo zinakufanya upate Fedha zao nyingi za Misaada.
Mwigulu najua umeshajua kuwa katika coming major Cabinet reshuffle ya kuelekea 2025 ambayo nimeambiwa ipo very soon labda kutokee Kitu kingine hapa katikati kuwa haumo kwakuwa tayari umeshashtukiwa haumo / hutokuwepo lakini bado masikini ya Mungu unaendelea Kumsanifu Mama wa Watu kwa kujifanya unampenda wakati Wewe na Kundi lako la The Road to 2030 wala hamumtaki na mnamdharau sana.
Yaani Wewe katika Makabila ni Mtani wangu mkubwa na hata hata Mpira pia ni Watani ukiwa Yanga Mimi Simba sawa?