Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga

Anatembea na Exodus 14:14

Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯

Kwenu Lucas na Erythrocyte - Mbeya
Makonda mwenyewe ni fisadi kupindukia.
 
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga

Anatembea na Exodus 14:14

Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯

Kwenu Lucas na Erythrocyte - Mbeya
Mbatizaji hapo umegongelea msumari. Dkt Samia namshauri kabla ya 2025 amuondoe Nchimbi ukatibu Mkuu na Makonda awe Katibu Mkuu na Mwenezi awe Ali Happy, hapo moto utawaka. Sisi tunataka kura hatutaki siasa za kulindana lindana
 
Makonda ni Mwamba kwelikweli. Ni jasiri asiyemuogopa mtu katika kusimamia na kuuzungumza ukweli.
Ni kweli Makonda ni jabali! Hana mpinzani. Tunaomba Mwenyekiti wetu Dkt Samia amtengue Nchimbi anatuharibia Chama kwa kuleta siasa za kulinda wezi
 
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga

Anatembea na Exodus 14:14

Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯

Kwenu Lucas na Erythrocyte - Mbeya
Makonda aliongea nini juu ya Bandari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…