Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Na kawaida ya Zimwi likitolewa kwenye chupa huwa halirudi tena ndani ya chupa!
Vinginevyo litaondoka na wengi !

Ngoja Tusubiri tuone !
 
Watumishi wa Umma Huwa wapo wapo Hadi unajiuliza Hawa ni Wasomi walienda shule kuongeza maarifa au kukua na kupata cheti waje kutoa Huduma za hovyo?

Huu ni aina nyingine ya ushahidi wa jinsi tuna Utumishi wa Umma usiojitambua na usiowajibika.

My Take
Wakati mwingine Watumishi Wakifanyiwa bullying unapata shida kuwatetea kutokana na walivyo.

Utashangaa wanaoitaa Wataalamu na Wasomi wanasubiria Kila kiutu waelekezwe na Viongozi wa siasa, soma Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

========

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka wakandarasi na wasimamizi wa miradi mbalimbali ya serikali inayotekelezwa katika Mkoa huo, kuhakikisha wanakamilisha Kwa wakati na ubora unaotakiwa.

Hayo yamebainishwa na Senyamule wakati wa ziara yake ya kikazi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma iliyofanyika Leo Aprili 23,2024..

Aidha Mhe. Senyamule amekagua ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Dodoma, ukarabati wa madarasa ya Shule ya msingi Amani, ukaguzi wa Shule ya Dodoma English Medium pamoja na ukaguzi wa ujenzi wa jengo la Mionzi ya kutibu Saratani katika Hospitali ya Benjamini Mkapa.

Wengine wakizingua mama anawapiga kalamu tu hakuna kuhojiwa lkn bashite anaitwa kubembelezwa huyu bashite ccm ilishamshindwa kabisa.
 
Wengine wakizingua mama anawapiga kalamu tu hakuna kuhojiwa lkn bashite anaitwa kubembelezwa huyu bashite ccm ilishamshindwa kabisa.
Makonda ni kiboko yao !
Hata JPM alimuogopa mpaka pale mwenyewe akajichanganya kuutaka ubunge ndipo alipopata nafasi ya kumuacha mazima !!

This time hawezi kurudia makosa yale !!
Ngoja tuone. !!
 
Hongera mkuuu wa mkoa Dodoma. Umeonyesha leadership. Licha ya makosa kuna kurekebishana bila kudhalilishana mbele ya watu. Matatizo yamesemwa mbele ya watu na hakuna aliyekuwa embarrassed. Then inaweza kufuata face to face kwa anayehusika kujua chanzo cha mapungufu ili kumsaidia kama anahitaji msaada wako kufanya inavyotakiwa. Na kama hana uwezo hatua zingine zifuate ili ufanisi uwepo . Ila mambo ya kufokeana na kudogoshana mbele ya kadamnasi yanaonyesha immaturity au ukosefu wa maadili na wala hayajengi.
 
Haoni tatizo kubwa zaidi ni MSD kutumia miezi mitatu hadi minne kufikisha dawa na vifaa hospitalini ili ashughulike nalo hilo zaidi??
Msd sio duka, Wanashughulikia order za Nchi nzima na Nchi jirani,hata ukiagiza mzigo china huletewi siku hiyo hiyo
 
Hongera mkuuu wa mkoa Dodoma. Umeonyesha leadership. Licha ya makosa kuna kurekebishana bila kudhalilishana mbele ya watu. Matatizo yamesemwa mbele ya watu na hakuna aliyekuwa embarrassed. Then inaweza kufuata face to face kwa anayehusika kujua chanzo cha mapungufu ili kumsaidia kama anahitaji msaada wako kufanya inavyotakiwa. Na kama hana uwezo hatua zingine zifuate ili ufanisi uwepo . Ila mambo ya kufokeana na kudogoshana mbele ya kadamnasi yanaonyesha immaturity au ukosefu wa maadili na wala hayajengi.
Stori za kulea uzembe hizi na kubembelezana,atakuja next time atakuta hivyo hivyo labda huwajui Watzn Kwa excuses
 
Stori za kulea uzembe hizi na kubembelezana,atakuja next time atakuta hivyo hivyo labda huwajui Watzn Kwa excuses
Alitakiwa apambane kuondoa urasimu unaosababisha dawa kuchelewa, vibali vya biashara kuchelewa, passports kuchelewa na mambo kama hayo.
 
Mkuu sheria za zinasemaje? Mbona kwenye mashirika Private sheria ziko wazi mfanya kasi mzembe ana fukuzwa intact? kuwatukana au kuwagombeza ndii adhabu? Private usha sikia mfanya kazi anagombezwa au kutukanwa? kule ni umefanya kosa basi biasjara inaisha. Taifa limejaaa wajinga sana nchi ina kiwango cha juuu mno cha wajinga.Taifa linapenda maigizo na sanaaa.
 
Nimekuwa najiuliza wakati Bashite yupo nje ya Uongozi alikuwa haonekani kuwatembelea viongozi wa dini na kuwataka wamwombee na kumbariki. Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM amekwisha watembelea Wafuatao;
1. Kardinal Mstaafu Pengo
2. Sheikh Mkuu Zuberi
3. Askofu mkuu wa Anglican na baada ya kuteuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa amefanya hivyo hivyo.

Najiuliza ametenda dhambi gani inayomtesa na kumfanya ahangaike hivi kutaka kuombewa? Mbona alipokuwa nje ya uongozi hatukumwona kuwatafuta hawa viongozi wa dini?

Ushauri kwa Bashite: Kama anautafuta wokovu basi awaombe Msamaha kwanza wale wote aliowatendea mabaya katika maisha yake na wakili kuwa wamsamehe ndio aende kwa hao viongozi wa dini bila kufanya hivyo sala na Mikono ya hao Viongozi wa Dini Wanayomwekea kichwani ni kazi bure.
 
Nimekuwa najiuliza wakati BASHITE yupo NJE ya Uongozi Alikuwa haonekani kuwatembelea VIONGOZI wa DINI na kuwataka WAMWOOMBEE na kumbariki.Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM amekwisha watembelea Wafuatao
1.Kardinal Mstaafu
Pengo
2.Sheikh Mkuu Zuberi
3.Askofu mkuu wa Anglican n.k.Na baada ya kuteuliwa tena kuwa MKUU wa MKOA amefanya hivyo hivyo.
Najiuliza ametenda DHAMBI GANI KUBWA inayomtesa na kumfanya Ahangaike hivi kutaka KUOMBEWA?
Mbona alipokuwa Nje ya UONGOZI hatukumwona kuwatafuta hawa VIONGOZI wa DINI?
Ushauri kwa BASHITE
Kama anautafuta WOKOVU basi Awaombe Msamaha KWANZA wale wote aliowatendea MABAYA ktk MAISHA yake na WAKILI kuwa Wamsamehe ndio Aende kwa Hao Viongozi wa Dini bila kufanya hivyo SALA na Mikono ya hao Viongozi wa Dini Wanayomwekea KICHWANI ni kazi Bure
Unahangaikaje na mambo ya dini ya mwenzako?
 
Back
Top Bottom