Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Hashauriki.
Vipi kuhusu Shaka Hamdu Shaka ma Bi. Sophia Mjema nao hawakukaa muda mrefu kwenye nafasi ya uenezi. Una lolote la kuwasemea?

Jokate Mwengelo amedumu kama katibu wa UWT taifa miezi miwili tu. Je una chochote cha kuchambua?
Wote hao wanachaguliwa kwa staili zisizofaa na wanaondoka kwa staili hizo hizo.
 
Kuwa na akili, staha, hekima na murua hakujawahi kumuangusha mtu vilevile kukosekana kwavyo hakujawahi kumtukuzisha mtu
 
Makonda yuko nchi ya wajinga. Nchi ya wajinga ina kawaida ya kuona yule aliye mjinga zaidi ndiye kiongozi wao mzuri.
 
Huyo jamaa, hata Marekani wamempiga marufuku kuingia nchini mwao, Kwa kuwa WANAZO taarifa za kiintelejensia kuwa anawanyima wananchi wake haki yao ya kuishi!
Kwani Marekani ni mbinguni?
Asipokwenda Marekani atapungukiwa na nini?
Waafrika ifike wakati tuwe na AKILI timamu.
 
Kwani wewe unaona makonda ana kosa gani. Au ni wale wenye kwenda na nani wako na madaraka. Kwetu sisi Makonda yuko sahihi kwa kua anatetea kweli na haki. Isitoshe mtindo wake hua na matokeo. Hao wenye kupinga mtindo wake wa uongozi ni wale wababaishaji wenye nia ya kukingia kifua watu na viongozi dhulumati. CCM ni chama cha mapinduzi ila kuna wapinga maendeleo wamekiteka tena baada ya magufuli kuondoka. Kuwaabisha vigogo fisadi na wazembe mbele ya mikutano ya hadhara ni mfumo wa kimapinduzi. Hatukanwi mtu ila maelezo yake kuhsu kero ya mwananchi itaonyesha anawajibika kwa kiwango gani kwenye utumishi wa umma.
 
mara nyingi viongozi wenye uthubutu kwenye mambo madogo hujijengea uzoefu na umahiri mkubwa sana kwenye jamii na huaminika zaidi wanapopewa dhamana kwenye kushughulika na mambo makubwa kutokana na uthubutu wao kwenye madogo πŸ’

viongozi wengi wa kisiasa hung'ang'ana na mambo makubwa hali ya kua madogo hawajafanya chochote. Matokeo yake huonekana wa kawaida tu kwasabb hata hayo makubwa yenyewe hakuna wanalofanya πŸ’
 
Vipi kuhusu Shaka Hamdu Shaka ma Bi. Sophia Mjema nao hawakukaa muda mrefu kwenye nafasi ya uenezi. Una lolote la kuwasemea?

Jokate Mwengelo amedumu kama katibu wa UWT taifa miezi miwili tu. Je una chochote cha kuchambua?
Shaka alipotoka Uenezi akaenda kuwa Mkuu wa wilaya Makonda alipotoka kwenye Uenezi akaenda kuwa Mkuu wa mkoa

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Point
 
Wamerekani wametoa tamko kuwa kama makalio makubwa ataendelea kuwa RC wamerekani hawataenda kutembelea mbuga za wanyama tena kupitia Arusha.
Ndiyo maana siku zote nasema wewe ni MPUMBAVU, kwasababu ya chuki na upumbavu uliokujaa kichwani huoni shida kutunga uongo kama huu.
Habari njema kwako ni kuwa WAPUMBAVU wenzio humu jf watameza uongo na uzushi huu bila hata kutafakari.
 
Kwa hiyo Makonda anashindana nao katika kuua?
blaah blaah za sijui amefungiwa kuingia marekani inefika kipindi hzio sio point za kuwambia watu wenye akili maana marekani yenyewe ndo inaogoza kwa mauji duaniani na kudhulumu haki za watu kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…