Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni heri kuwaombea Azzory na Saanane Ben waliopotezwa mazima.Habari wana jamvi?
Binafsi namkubali huyu jamaa kwa uthubutu wake wa baadhi ya mambo na namna anavyopambana kuweka alama ya uongozi.
Wengi hawapendezi kwa namna anavyowasimanga wengine, lakini kwa sasa na hizi tabia zetu acha afanye tu.
Kinachonipa mashaka ni toka amalize kikao chake na kamati ya nidhamu na maadili ya CCM habari zake zimeanza kufifia hata yeye ni kama amekosa nuru.
Duru zinasema kikao kilikuwa cha moto dhidi yake, na pengine akuzinguliwa chamani.
Tumuombee tu ndugu yetu, chama kimsamehe na kuendelea kumuamini.
Hao ni kina nani we mpumbavu, ukiwa huna cha kuongea kaa kimya.Ni heri kuwaombea Azzory na Saanane Ben waliopotezwa mazima.
Tuanzie hapa Hawa ni mabilionea wa nini??, au kuigiza 🤔😁Hivyo ni mabilionea hawa hawa ambao wachache wao Mungu wa Mbinguni amewabarikia UTU ndio hujilipua na kuwatetea maskini na Wanyonge
Huyo jamaa, hata Marekani wamempiga marufuku kuingia nchini mwao, Kwa kuwa WANAZO taarifa za kiintelejensia kuwa anawanyima wananchi wake haki yao ya kuishi!Nilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea.
Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu.
Makonda ameshawekwa kati na kamati ya maadili ya CCM na hiyo ni dadili mbaya kwake.
Cha msingi zaidi ni washauri wa kisiasa wa rais Samia ambao ni dhahiri hawamshauri vizuri katika mambo mengi.
Sasa hivi Makonda atabaki madarakani kwa kitambo kidogo kuondokana na aibu ya teua tangua lakini mwishoni ataachwa mazima. Tusubiri muda ufike.
Tunasubilia amalize kuandaa sherehe za mei mosi tumuage na kumuaga hiyo siku maana atalopoka tu si kichwa majiNilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea.
Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu.
Makonda ameshawekwa kati na kamati ya maadili ya CCM na hiyo ni dadili mbaya kwake.
Cha msingi zaidi ni washauri wa kisiasa wa rais Samia ambao ni dhahiri hawamshauri vizuri katika mambo mengi.
Sasa hivi Makonda atabaki madarakani kwa kitambo kidogo kuondokana na aibu ya teua tangua lakini mwishoni ataachwa mazima. Tusubiri muda ufike.
Unataka kutuaminisha hapa Samia sio katili?Makonda anadhani bado tuko utawala wa JPM ambapo aliweza hadi kudhulumu uhai wa watu. Mama hana hayo mambo ya kikatili. Ampige tu chini kujiepusha na mtu mchafu kama Makonda.
Hehe hawa kuna sehemu wameminywa, maana kwa jinsi wanayotapatapa hizi siku za karibuni hali ni mbaya halafu hapo shoo ni ya mtu mmoja tu MAKONDA, akiongezeka mwingine hawatalala kabisaHao wajinga na team yao ya msoga JPM amewapa za uso kwe utafiti wa the citizen wanakuja kumshambulia Makonda huku wanajua kabisa team Msoga haina chake tena!
Vipi kuhusu Shaka Hamdu Shaka ma Bi. Sophia Mjema nao hawakukaa muda mrefu kwenye nafasi ya uenezi. Una lolote la kuwasemea?Nilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea.
Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu.
Makonda ameshawekwa kati na kamati ya maadili ya CCM na hiyo ni dadili mbaya kwake.
Cha msingi zaidi ni washauri wa kisiasa wa rais Samia ambao ni dhahiri hawamshauri vizuri katika mambo mengi.
Sasa hivi Makonda atabaki madarakani kwa kitambo kidogo kuondokana na aibu ya teua tangua lakini mwishoni ataachwa mazima. Tusubiri muda ufike.
- Shusha vitu hapa: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu HassanCha msingi zaidi ni washauri wa kisiasa wa rais Samia ambao ni dhahiri hawamshauri vizuri katika mambo mengi.