kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,414
Kipi kizuri kimoja tu alichokifanya ambacho unaeza sema ona ile,huyo mjanjamjanja tu,ndo maana magu alimshtukia akampiga chini,anatumia njia ya kijuana na viongoziMakonda ni kijana mzuri sana
Namwombea kwa Mungu amtumie huyu kijana kwa ajili ya Tanzania