Hapo Kuna tatizo mahala,ila halisemwi.Makonda si wa mchezo ndo maana viongozi wenzake wanamuonea wivu. Saa angalia hapo anamzidi popularité hata Samia. Hizo views ni muda mmoja watu wengi walifuatilia Makonda kuliko Samia. View attachment 2984751
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Kuna tatizo mahala,ila halisemwi.Makonda si wa mchezo ndo maana viongozi wenzake wanamuonea wivu. Saa angalia hapo anamzidi popularité hata Samia. Hizo views ni muda mmoja watu wengi walifuatilia Makonda kuliko Samia. View attachment 2984751
Tunataka kiongozi anayefaa. Hatutaki dikteta kama jiwe wala mzembe kama kama mazeri.nyie binadamu sijui munataka nini?
Nyinyi majizi huwa hamkosi wasiwasi, Acheni wizi muone kama mtakuwa na haja ya kuwachukia wanasiasa dizaini ya kina hayati JPM na kina makondaView attachment 2984794
Nimesoma comment hiyo huko Instagram nikashtuka sana.
Haiba ya Paul Makonda inalingana sana na ya Adolf Hitler, fuhrer wa dola la Ujerumani baada ya WWI
Kwa mantiki hiyo si ajabu wataalamu wa kuchunguza mienendo na tabia za viongozi wenye traits za ukatili duniani, kutoka Serikali ya Marekani waliona Makonda siyo kiumbe wa kuedekeza, wakampiga pin mapema asitie mguu kwenye ardhi yao bali abaki kuwa tatizo letu Tanzania.
Kabla ya kuanza vurugu zake, Adolf Hitler alipenda sana kujionesha kuwa ni mcha Mungu na hotuba zake nyingi alimalizia kwa kuapa kwa Jina la Baba, na la Mwana, na Roho Mtakatifu....viongozi wengi wa dini wakaingia kwenye mfumo baadaye walikiona cha mtema kuni...mfano mzuri ni Martin Niemoller.
Hitler aliwafanya Wajerumani waamini kwamba yeye peke yake ndiye mwenye suluhu ya maisha magumu kufuatia baada ya WW I.
Alibeba kisasi moyoni mwake, akatafuta jamii ya kuilaumu baada ya vita hiyo, akaelekeza lawama zake kwa Wayahudi na Wakomunisti.
Makuzi ya Makonda na ya Hitler hayatofautiani sana, wote ni watu ambao hawakuwa na uwezo wowote shuleni lkn wamejaliwa vipaji vya kuhamasisha Umma. Kwa maana hii Makonda anatumia kila fursa ndogo kiasi gani, hata shughuli zisizo na maana kujionesha kuwa yeye ni Messiah, wakati mwingine akijisahau kabisa kuwa kuna viongozi wake wakuu wa Kitaifa.
Hoja yangu:
Wote tunaolitakia mema Taifa letu, tusimdekeze huyu kiumbe, kuna siku matukio ya kitaifa yasiyotabirika yanaweza kumpropel tukajikuta ni kiongozi mkuu wa kitaifa na hapo ndipo tutalimia meno kama mentor wale Magufuli alivyojaribu kutulimisha.
Niwapongeze CCM angalau kwa kumwondoa huko kwenye Uongozi wa Kitaifa.
Huyu hapo alipofikia inabidi iwe mwisho wake asipande zaidi ya nafasi hiyo, tutakuja kulia kilio cha kusaga meno, he is a thug.
Makonda amefanya maovu yafuatayo:-Hoja ya kijinga kabisa..
Kwako wewe Marekani ndiyo wana standard ya kudefine tabia na mwenendo wa mtu...?
Wakati wanaivamia Iraq kwa kisingizio inamiliki siraha za maangamizi ulikua hujazaliwa?
Makonda anaweza kuwa mbaya ila sio kama mnavyomwelezea...
Mnajaribu kutuaminisha vitu ambavyo havipo kabisa, utazani sisi ni wageni Tanzania...
Character assassination hufaulu ilisindikizwa na ushahidi usio shaka.
Weka ushahidi hapa3. Alimpiga risasi Lisu.
4. Alimpoteza Ben Sa8.
5. Alowapora pesa wafanyabiashara wa DSM.
Hivi ww ni mtakatifu sana mbona unahesabu mabaya tu🥶Kwamba makonda hana mema hivi umeangalia Arusha watu wazima wazee wanalia na kushukuru japo sasa wamepata mtu wa kumweleza shida zao harafu mpuuzi km ww ulie shiba mali za wizi na dhuruma utampendaje Makonda . ila kuna siku mtazitapika tu hizo hela za dhuluma washenzi nyieMakonda amefanya maovu yafuatayo:-
1. Alimteka Mo.
2. Alivamia kituo cha cloudstv.
3. Alimpiga risasi Lisu.
4. Alimpoteza Ben Sa8.
5. Alowapora pesa wafanyabiashara wa DSM.
Unataka mpk akuue wewe ndipo ujue kuwa ni muovu??
MAKONDA BOMAYEEEEEView attachment 2984794
Nimesoma comment hiyo huko Instagram nikashtuka sana.
Haiba ya Paul Makonda inalingana sana na ya Adolf Hitler, fuhrer wa dola la Ujerumani baada ya WWI
Kwa mantiki hiyo si ajabu wataalamu wa kuchunguza mienendo na tabia za viongozi wenye traits za ukatili duniani, kutoka Serikali ya Marekani waliona Makonda siyo kiumbe wa kuedekeza, wakampiga pin mapema asitie mguu kwenye ardhi yao bali abaki kuwa tatizo letu Tanzania.
Kabla ya kuanza vurugu zake, Adolf Hitler alipenda sana kujionesha kuwa ni mcha Mungu na hotuba zake nyingi alimalizia kwa kuapa kwa Jina la Baba, na la Mwana, na Roho Mtakatifu....viongozi wengi wa dini wakaingia kwenye mfumo baadaye walikiona cha mtema kuni...mfano mzuri ni Martin Niemoller.
Hitler aliwafanya Wajerumani waamini kwamba yeye peke yake ndiye mwenye suluhu ya maisha magumu kufuatia baada ya WW I.
Alibeba kisasi moyoni mwake, akatafuta jamii ya kuilaumu baada ya vita hiyo, akaelekeza lawama zake kwa Wayahudi na Wakomunisti.
Makuzi ya Makonda na ya Hitler hayatofautiani sana, wote ni watu ambao hawakuwa na uwezo wowote shuleni lkn wamejaliwa vipaji vya kuhamasisha Umma. Kwa maana hii Makonda anatumia kila fursa ndogo kiasi gani, hata shughuli zisizo na maana kujionesha kuwa yeye ni Messiah, wakati mwingine akijisahau kabisa kuwa kuna viongozi wake wakuu wa Kitaifa.
Hoja yangu:
Wote tunaolitakia mema Taifa letu, tusimdekeze huyu kiumbe, kuna siku matukio ya kitaifa yasiyotabirika yanaweza kumpropel tukajikuta ni kiongozi mkuu wa kitaifa na hapo ndipo tutalimia meno kama mentor wale Magufuli alivyojaribu kutulimisha.
Niwapongeze CCM angalau kwa kumwondoa huko kwenye Uongozi wa Kitaifa.
Huyu hapo alipofikia inabidi iwe mwisho wake asipande zaidi ya nafasi hiyo, tutakuja kulia kilio cha kusaga meno, he is a thug.
MAKONDA BOMAYEEEE.........NA WAVIMBE WAPASUKEMakonda amefanya maovu yafuatayo:-
1. Alimteka Mo.
2. Alivamia kituo cha cloudstv.
3. Alimpiga risasi Lisu.
4. Alimpoteza Ben Sa8.
5. Alowapora pesa wafanyabiashara wa DSM.
Unataka mpk akuue wewe ndipo ujue kuwa ni muovu??
Umeandika mistari mingi ambayo haina maana sana,mm nadhani usingetangulia kumlaumu Mdogo wangu Paulo Makonda ila ungejikita kuona kile ambacho makonda anakisimamia na ungejua ni kwa jinsi gani mamlaka nyingi Tanzania hazitoi huduma kabisa kwa wananchi na ungejua kwa nn wananchi wengi wamekaa kimya lkn mioyoni mwao wana maumivu makali ya kukosa haki,kudhulumiwa na wenye kiburi cha pesa ktk Tanzania.Ninachokiona kwako na maandishi yako ni kwamba ww kuna mtu amekufundisha kumchukia makonda tu bila kujali anachokifanya kwa wananchi maskini wanaoonewa.View attachment 2984794
Nimesoma comment hiyo huko Instagram nikashtuka sana.
Haiba ya Paul Makonda inalingana sana na ya Adolf Hitler, fuhrer wa dola la Ujerumani baada ya WWI
Kwa mantiki hiyo si ajabu wataalamu wa kuchunguza mienendo na tabia za viongozi wenye traits za ukatili duniani, kutoka Serikali ya Marekani waliona Makonda siyo kiumbe wa kuedekeza, wakampiga pin mapema asitie mguu kwenye ardhi yao bali abaki kuwa tatizo letu Tanzania.
Kabla ya kuanza vurugu zake, Adolf Hitler alipenda sana kujionesha kuwa ni mcha Mungu na hotuba zake nyingi alimalizia kwa kuapa kwa Jina la Baba, na la Mwana, na Roho Mtakatifu....viongozi wengi wa dini wakaingia kwenye mfumo baadaye walikiona cha mtema kuni...mfano mzuri ni Martin Niemoller.
Hitler aliwafanya Wajerumani waamini kwamba yeye peke yake ndiye mwenye suluhu ya maisha magumu kufuatia baada ya WW I.
Alibeba kisasi moyoni mwake, akatafuta jamii ya kuilaumu baada ya vita hiyo, akaelekeza lawama zake kwa Wayahudi na Wakomunisti.
Makuzi ya Makonda na ya Hitler hayatofautiani sana, wote ni watu ambao hawakuwa na uwezo wowote shuleni lkn wamejaliwa vipaji vya kuhamasisha Umma. Kwa maana hii Makonda anatumia kila fursa ndogo kiasi gani, hata shughuli zisizo na maana kujionesha kuwa yeye ni Messiah, wakati mwingine akijisahau kabisa kuwa kuna viongozi wake wakuu wa Kitaifa.
Hoja yangu:
Wote tunaolitakia mema Taifa letu, tusimdekeze huyu kiumbe, kuna siku matukio ya kitaifa yasiyotabirika yanaweza kumpropel tukajikuta ni kiongozi mkuu wa kitaifa na hapo ndipo tutalimia meno kama mentor wale Magufuli alivyojaribu kutulimisha.
Niwapongeze CCM angalau kwa kumwondoa huko kwenye Uongozi wa Kitaifa.
Huyu hapo alipofikia inabidi iwe mwisho wake asipande zaidi ya nafasi hiyo, tutakuja kulia kilio cha kusaga meno, he is a thug.
Watu wa dizain ya mleta mada ni wa kutandika viboko tu kwa sababu anaonyesha wazi anatoka kundi la wezi tu.Hivi ww ni mtakatifu sana mbona unahesabu mabaya tu🥶Kwamba makonda hana mema hivi umeangalia Arusha watu wazima wazee wanalia na kushukuru japo sasa wamepata mtu wa kumweleza shida zao harafu mpuuzi km ww ulie shiba mali za wizi na dhuruma utampendaje Makonda . ila kuna siku mtazitapika tu hizo hela za dhuluma washenzi nyie