Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Ni utani tu sawa na wa mama "mkinizingua nitawazingua" sijui hayo mabango ni ya nini. Makonda kasema hizo kelele ni sawa na kale kamziki kadogo unakowekewa wakati wa "massage ".
 
Mheshimiwa kazi yako inaonekana toka umeteuliwa kuongoza mkoa wa Arusha. Rushwa na uzembe kazini vimeisha chini ya uongozi wako.

Na punde naona ukitunukiwa honorary doctorate (Honoris Causal) toka Chuo kikuu Cyprus.

Wabillahi Taufiq
Mmmhh!
Yaani mtu mbumbumbu kama Paul Makonda ndio wa kutunukiwa honorary degree????

Eti Mtu 'ngumbaru' kama Makonda anastahili kutunukiwa degree ktk chuo kikuu!!??? Seriously?
 
Ule msemo wa kizuri huonekana baada ya kutoweka ulifaa sana kwa kipindi hiki cha awamu ya 6. Kipindi cha uongozi wa Magufuli kwakweli nilimchukia sana Makonda. Ila baada ya Magufuli kuondoka nimekuja kugundua Makonda ni bonge la kiongozi

Rekodi yake toka amekuwa mwenezi mpaka mkuu wa mkoa wa Arusha unaonekana tofauti na wakuu wengine. Makonda ana nyota ya kupendwa na kutawala, kila anakokaa anakuwa maarufu haraka.
Makonda kulingana na usimamizi wake ameanza kunyoosha Arusha wazembe na wezi wanaanza kulalamika.

Hana connection na mabeberu hana usakaji kwenye kazi. Hajipendekezi kwa wasiomuhusu.

Natamani sana 2030 achukue form. Viatu vya Magufuli vinamtosha kabisa. Acheni kumsakama
 
Kwa style yake ya uongozi hapana! Hafai hata kidogo!
Nimeona msafara wa magari ya kitalii yanamsindikiza kwenda wilayani, tuanzie hapo; haya magari ni ya nani? yanalipwaje? Je nani analipa? kwa fedha toka wapi?
 
Makonda ana nyota ya kupendwa na kutawala, kila anakokaa anakuwa maarufu haraka.
Hana connection na mabeberu hana usakaji kwenye kazi. Hajipendekezi kwa wasiomuhusu.
Hapa vetting ya mswahili 'mnyonge' tayari imekamilika, na kampata kiongozi bora! Kwa kuangazia nyota ya kupendwa na kutokuwa na connection na mabeberu (waliofanikiwa)

Poor Tanzania

Kwa mindset hizi tutaendelea kuongozwa na viongozi wa ajabuajabu ambao camera ikizimwa hawafanyi kazi yoyote, na ccm itatawala hadi Yesu anarudi.
 
Nilisemaga kichaa pekee ndo atashindwa kumuelewa JPM kipindi kile anatawala wengi wakabisha,Alivyo-itangulia haki wakaanza kumkumbuka.
Sasa nasema tena kichaa pekee ndo atashindwa kumuelewa PCM.
 
Hata kichaa akiwa uchi barabarani huwashangaa waliovaa nguo na kuwaona vichaa waliojibebesha mizigo ya minguo. Kwahiyo chunga isijekuwa nawe ni kichaa pia.

Kufanya conclusion katika mambo haya kwa kuamini kuwa unachokiamini wewe tu ndicho kiwe sahihi nayo ni dalili ya ukichaa.

Watu hawamuelewi Mungu, wanamrudia na kumwacha tena na tena na si vichaa, ikawe mwanadamu tu? Acheni watu watumie bongo zao kufikiri. Haya mambo ni too subjective, hayatumii scientific facts kiasi cha kukuwezesha wewe kutupa proof hapa kuwa anayemuelewa Magu/Makonda ni timamu na asiyefanya hivyo ni hamnazo!

Hizi mindset ndizo hata Magu na Makonda wenyewe wamekuwa nazo, ndo maana hata wafuasi wao nanyi ni mulemule
 
Hili gazeti lako peleka Nipashe! Huna kitu kichwani.
 
Hapa vetting ya mswahili 'mnyonge' tayari imekamilika, na kampata kiongozi bora! Kwa kuangazia nyota ya kupendwa na kutokuwa na connection na mabeberu (waliofanikiwa)

Poor Tanzania

Kwa mindset hizi tutaendelea kuongozwa na viongozi wa ajabuajabu ambao camera ikizimwa hawafanyi kazi yoyote, na ccm itatawala hadi Yesu anarudi.
Hata Magufuli unamkataa?
 
Ule msemo wa kizuri huonekana baada ya kutoweka ulifaa sana kwa kipindi hiki cha awamu ya 6. Kipindi cha uongozi wa Magufuli kwakweli nilimchukia sana Makonda. Ila baada ya Magufuli kuondoka nimekuja kugundua Makonda ni bonge la kiongozi

Rekodi yake toka amekuwa mwenezi mpaka mkuu wa mkoa wa Arusha unaonekana tofauti na wakuu wengine. Makonda ana nyota ya kupendwa na kutawala, kila anakokaa anakuwa maarufu haraka.
Makonda kulingana na usimamizi wake ameanza kunyoosha Arusha wazembe na wezi wanaanza kulalamika.

Hana connection na mabeberu hana usakaji kwenye kazi. Hajipendekezi kwa wasiomuhusu.

Natamani sana 2030 achukue form. Viatu vya Magufuli vinamtosha kabisa. Acheni kumsakama
Kabisa 👁👁
 
Huyu tusimlaumu sana alitawala nchi ikiwa haina wasomi

..John Magufuli alikuwa rafiki wa mabeberu.

..kifaa cha moyo alichokuwa akitumia alipewa na mabeberu.

..askari waliokuwa wakimlinda walibeba mitutu iliyotengenezwa na mabeberu.

..mikopo kwa ajili ya miradi ya kimkakati ilitoka ktk mabenki ya mabeberu.

..alitumia matrilioni kununua midege ya atcl toka makampuni ya nchi za mabeberu.

..alikubali kishika uchumba usd 300 mil badala ya fidia ya usd 91 billion toka kampuni ya mabeberu ya Barrick
 
Ukishakuwa rafiki wa wazungu ww siyo mzalendo tena. Nitajie kiongozi mzalendo ambaye ana urafiki na mabeberu?
Tatizo la Nchi za Africa sio eti kwa sababu ya kufanya urafiki na mabeberu 🙄
Tatizo letu kubwa ni upigaji uliopitiliza kila mahali hata ma CAG wanalijua hilo 👁
Kila mtu anafikiria kuwa Tajiri kupitia Meza yake 👁

Ndio maana unaona watu kama Makonda wanasakamwa sana japo kwa kile kidogo anachofanya cha kuhoji hoji juu ya ubadhirifu unaofanywa kila kukicha 👁

Wenzie Chamani wameshaanza kumsagia Kunguni 👁🙄
 
Wanaomchukia Makonda ni wenziwe Chamani 🙄
Wanamshangaa na kujiuliza huyu mbona anataka kuleta zake za kuleta hapa ??? 👁🤠
 
..John Magufuli alikuwa rafiki wa mabeberu.

..kifaa cha moyo alichokuwa akitumia alipewa na mabeberu.

..askari waliokuwa wakimlinda walibeba mitutu iliyotengenezwa na mabeberu.

..mikopo kwa ajili ya miradi ya kimkakati ilitoka ktk mabenki ya mabeberu.

..alitumia matrilioni kununua midege ya atcl toka makampuni ya nchi za mabeberu.

..alikubali kishika uchumba usd 300 mil badala ya fidia ya usd 91 billion toka kampuni ya mabeberu ya Barrick
Alifanya biashara nao ila hakuwanyenyekea kama ilivyo marais wengine
 
Back
Top Bottom