Paul Makonda: Tuishi katika kweli, tusitengenezeane ajali

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Your browser is not able to display this video.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amewasihi Watanzania kuwa na desturi ya kuzungumza mazuri ya mtu akiwa bado yupo hai badala ya kusubiri afariki.

Makonda ameyasema hayo kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na kueleza kuwa baadhi ya watu hawakuwahi kwenda kumuona akiwa anaumwa lakini sasa wanatamba kwenye msiba wake.

Makonda ameyasema hayo kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na kueleza kuwa baadhi ya watu hawakuwahi kwenda kumuona akiwa anaumwa lakini sasa wanatamba kwenye msiba wake.

Pia soma:
Msafara wa Makonda wapata ajali

Ajali ya Magari 13 Msafara wa Makonda; Tusome Alama za Nyakati
 
Ben saanane tunahija kweli yake toka kwa Makonda
 
Si ni Makonda alitafuta kabinti kakawa kanalalamika baba yake ni Lowassa? Aache unafiki.
 
ndiyoo.....
ukweli usemwe..

R.I.P Laogwanan comrade ENL
 
Kwani wewe ndo mkewe?
..mbona una maswali ya kijinga?

..kwa hiyo Bashite alikuwa kimada wa Mzee Lowassa ndio maana akawa ni wivu naye kwa "kuzaa" na mwanamke mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…