Paul Makonda: Tuishi katika kweli, tusitengenezeane ajali

Paul Makonda: Tuishi katika kweli, tusitengenezeane ajali

..Nakumbuka Makonda alivyomtengenezea Lowassa kashfa ya kuzaa nje ya ndoa na kutekeleza mtoto.
Jamaa ni li nafiki la kiwango cha lami ,ameshasahau alimsababishia lowasa hiyo kashfa hadi familia ikaingilia kati
 
Huyu Bashite amepotelea wapi na maigizo yake?

Wanasemaga CCM ina wenyewe.
 
Back
Top Bottom