J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Feb 12, 2024 #21 Crimea said: Kuna zile kashfa za chadema juu ya Lowasa! Click to expand... ..zipo kwenye kumbukumbu.
Georgie Jr Senior Member Joined Aug 23, 2018 Posts 134 Reaction score 374 Feb 13, 2024 #22 JokaKuu said: ..Nakumbuka Makonda alivyomtengenezea Lowassa kashfa ya kuzaa nje ya ndoa na kutekeleza mtoto. Click to expand... Jamaa ni li nafiki la kiwango cha lami ,ameshasahau alimsababishia lowasa hiyo kashfa hadi familia ikaingilia kati
JokaKuu said: ..Nakumbuka Makonda alivyomtengenezea Lowassa kashfa ya kuzaa nje ya ndoa na kutekeleza mtoto. Click to expand... Jamaa ni li nafiki la kiwango cha lami ,ameshasahau alimsababishia lowasa hiyo kashfa hadi familia ikaingilia kati
Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 4,672 Reaction score 9,806 Feb 22, 2024 #23 Huyu Bashite amepotelea wapi na maigizo yake? Wanasemaga CCM ina wenyewe.