Paul Makonda: Tundu Lissu ni mchanga kisiasa kwangu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hebu soma hapa kauli ya Makonda kuhusu Lissu

Hata kama Watanzania ni Wajinga, lakini ndio wakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Makonda amemzidi nini Lissu kisiasa, Huyu jamaa ni Mzima kweli? Hata kama ni Mkuu wa Mkoa lakini Anapaswa kuwa na Heshima kwa wakubwa waliomzidi Kila kitu.

Nadhani anapaswa kupelekwa haraka hospitali ya karibu kabla ya kusafirishwa hadi Milembe

==========

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara Tundu Lissu ni mchanga kiasiasa kwake, kutokana ya kuwa alipokuwa akishiriki vikao na viongozi wake wa Chadema akiwemo Freeman Mbowe na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hiko Dk. Slaa halikuwa hana uwezo wa kuingia kwa kuwa alikuwa hawezi kuaminiki.

Your browser is not able to display this video.
 
Wote ni MATAPELI tu. Hakuna mwanasiasa mwenye mpango nawewe, siasa ni kazi kama ukuli, bodaboda, ualimu nk. Pambania kombe.
 
kwaiyo wewe kwa akili yako ndogo unataka kusema lisu yuko juu ya makonda kisiasa,,lisu bado sana
 
Aliyeanzisha hii maneno
 
Lisu ameanza siasa baada ya Lowasa kujiunga Chadema

Kabla ya hapo alikuwa ni mwanaharakati tu Mwanachama wa Chadema ๐Ÿ˜‚

cha UTANI Mkuu. Unless, akili yako haina kumbukumbu!!

Wakati Lowasa anahamia Chadema Lissu alikuwa tayari ni Mbunge. Kwa taarifa tu, Lissu alikuwa kati ya wagombea Ubumge wa mwanzo kwenye vyama vyingi. Aligombea Ubunge kwa mara ya kwanza 1995...!! Wakati huo Bashite alikuwa bado anatumia nepi za kanga zilizochakaa za bibi yake kule Koromije.
 
Huyu ndiyo maana Mzee Six alimvua ubingwa
 
Acha UTANI Mkuu. Unless, akili yako haina kumbukumbu!!

Wakati Lowasa anahamia Chadema Lissu alikuwa tayari ni Mbunge.
Kuwa Mbunge haimaanishi Wewe ni Mwanasiasa

Unaweza kuwa Rais Lakini usiwe Mwanasiasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚usipoelewa Hapo basi tena!
 
Umemrarua bila huruma.
 
Hahaha
 
Mteule wa Rais katika kiwango cha juu cha imbecile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ