Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu, Maria na Fatma ni wanaharakati ila Mbowe Afisa mstaafu wa BoT yule siasa anajua na alianza enzi za TYL 😀😀Tangu uanze hiyo Tabia ya Uongo umepata faida gani?
Hayo ndiyo matokeo ya kuwa karibu na WADUDU. Wameshampatia cha Arusha. Kwanza kielimu Makonda ni makopo tupu. Kisiasa makopo kaanzia kuvalisha viatu na kulamba soksi za watoto wa wakubwa kisha mbeleko baada ya makofi aliyompiga Warioba ikawa mbeleko hadi leo.Hebu soma hapa kauli ya Makonda kuhusu Lissu
View attachment 3155338
Hata kama Watanzania ni Wajinga, lakini ndio wakubali kudanganywa kibwege namna hii?
Makonda amemzidi nini Lissu kisiasa, Huyu jamaa ni Mzima kweli? Hata kama ni Mkuu wa Mkoa lakini Anapaswa kuwa na Heshima kwa wakubwa waliomzidi Kila kitu.
Nadhani anapaswa kupelekwa haraka hospitali ya karibu kabla ya kusafirishwa hadi Milembe
Hebu tupe definition ya Siasa labda sisi wengine hatujui.Lisu ni kama Magufuli tu hamnaga siasa mule 😂
Kwa hiyo wakati akiwa mbunge hakuwa mwanasiasa?Lisu ameanza siasa baada ya Lowasa kujiunga Chadema
Kabla ya hapo alikuwa ni mwanaharakati tu Mwanachama wa Chadema 😂
Anapata pombe za offerTangu uanze hiyo Tabia ya Uongo umepata faida gani?
Lengo ni kuwatoa watu kwenye mjadala wa uchaguzi serikali za mitaa hakuna kingine. Endeleeni kumdiscuss Makonda na muache mambo ya msingi ya nchiHebu soma hapa kauli ya Makonda kuhusu Lissu
Hata kama Watanzania ni Wajinga, lakini ndio wakubali kudanganywa kibwege namna hii?
Makonda amemzidi nini Lissu kisiasa, Huyu jamaa ni Mzima kweli? Hata kama ni Mkuu wa Mkoa lakini Anapaswa kuwa na Heshima kwa wakubwa waliomzidi Kila kitu.
Nadhani anapaswa kupelekwa haraka hospitali ya karibu kabla ya kusafirishwa hadi Milembe
==========
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara Tundu Lissu ni mchanga kiasiasa kwake, kutokana ya kuwa alipokuwa akishiriki vikao na viongozi wake wa Chadema akiwemo Freeman Mbowe na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hiko Dk. Slaa halikuwa hana uwezo wa kuingia kwa kuwa alikuwa hawezi kuaminiki.
Maana yako Jo ni kuwa unaweza lipya pension bila kuwahikufanya kazi wala kuwahi kulipwa mshahara?Kuwa Mbunge haimaanishi Wewe ni Mwanasiasa
Unaweza kuwa Rais Lakini usiwe Mwanasiasa 😂😂😂😂usipoelewa Hapo basi tena!
Siyo tu pension Watu wanalipwa mshahara na baadae pension bila kufanya KAZI 😂😂Maana yako Jo ni kuwa unaweza lipya pension bila kuwahikufanya kazi wala kuwahi kulipwa mshahara?
Upo ama ulikuwepi kundi gani?Siyo tu pension Watu wanalipwa mshahara na baadae pension bila kufanya KAZI 😂😂
Ili iweje?Hapa kiukweli bila upendeleo anaetakiwa kupelekwa mirembe ni wewe mleta uzi
Makonda hana uwezo unaompaLengo ni kuwatoa watu kwenye mjadala wa uchaguzi serikali za mitaa hakuna kingine. Endeleeni kumdiscuss Makonda na muache mambo ya msingi ya nchi