Paul Makonda: Tundu Lissu ni mchanga kisiasa kwangu

Paul Makonda: Tundu Lissu ni mchanga kisiasa kwangu

Hebu soma hapa kauli ya Makonda kuhusu Lissu

Hata kama Watanzania ni Wajinga, lakini ndio wakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Makonda amemzidi nini Lissu kisiasa, Huyu jamaa ni Mzima kweli? Hata kama ni Mkuu wa Mkoa lakini Anapaswa kuwa na Heshima kwa wakubwa waliomzidi Kila kitu.

Nadhani anapaswa kupelekwa haraka hospitali ya karibu kabla ya kusafirishwa hadi Milembe

==========

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara Tundu Lissu ni mchanga kiasiasa kwake, kutokana ya kuwa alipokuwa akishiriki vikao na viongozi wake wa Chadema akiwemo Freeman Mbowe na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hiko Dk. Slaa halikuwa hana uwezo wa kuingia kwa kuwa alikuwa hawezi kuaminiki.

Mpuuzi kabisa huyu kilaza, kwa akili yake hapo anajiona ndiyo ame spin ili kuingiza mgogoro CHADEMA.
Ameona CHADEMA wameanza kumchoka Mbowe na kudai mabadiliko, yeye anataka kujifanya kuchomekea ili kukuza mgogro,
 
Sio Kwa ubaya Wala upendeleo niwe muwazi ,Lisu ni mwnasiasa ila zaidi ni Mwanaharakati ,mpenda haki na muwazi,

Makonda ni mwanasiasa aliyeiva,anao uwezo wa ku manipulate watu, na ushawishi wa kisiasa anao,tangu akiwa mkuu wa wilaya kinondoni,mkuu wa mkoa DSM,mwenezi Na Sasa,
Kwa akili ndogo za watanzania wengi Makonda lazima kwao aonekane ameiva na mwenye uwezo
 
Sio Kwa ubaya Wala upendeleo niwe muwazi ,Lisu ni mwnasiasa ila zaidi ni Mwanaharakati ,mpenda haki na muwazi,

Makonda ni mwanasiasa aliyeiva,anao uwezo wa ku manipulate watu, na ushawishi wa kisiasa anao,tangu akiwa mkuu wa wilaya kinondoni,mkuu wa mkoa DSM,mwenezi Na Sasa,
Una uwezo mdogo sana!
 
Back
Top Bottom