Paul Makonda: Tundu Lissu ni mchanga kisiasa kwangu

Hayo ndiyo matokeo ya kuwa karibu na WADUDU. Wameshampatia cha Arusha. Kwanza kielimu Makonda ni makopo tupu. Kisiasa makopo kaanzia kuvalisha viatu na kulamba soksi za watoto wa wakubwa kisha mbeleko baada ya makofi aliyompiga Warioba ikawa mbeleko hadi leo.
 
Ibara ya kwanza ya akili yangu inaushahidi usio shaka, Ipo siku kila mtu atalia na kusimulia, jinsi waTanzania walivyoshindwa kusimama na Tundu Lissu alie mwaga damu akiitetea nchi hii, SIKU HAZIGANDI
 
Lisu ndiye Mwanaume pekee aloweza kumkabili JPM πŸ’ͺ
Wengine wote waliufyata na kubaki kusifu na kuabudu hadi Mwenyezi Mungu ikamchukiza maana hapendi kushiriki siga na Utukufu pamoja na wanadamu. ?!
 
Lengo ni kuwatoa watu kwenye mjadala wa uchaguzi serikali za mitaa hakuna kingine. Endeleeni kumdiscuss Makonda na muache mambo ya msingi ya nchi
 
Kuwa Mbunge haimaanishi Wewe ni Mwanasiasa

Unaweza kuwa Rais Lakini usiwe Mwanasiasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚usipoelewa Hapo basi tena!
Maana yako Jo ni kuwa unaweza lipya pension bila kuwahikufanya kazi wala kuwahi kulipwa mshahara?
 
Vioja vya karne, ni rahisi sana kufanya siasa na kuongea bila tija ukiwa ccm, kama amekomaa kisiasa mbona asitoke ccm akafanya siasa nje ya mfumo? Vijana wengi wa ccm wanajiona vichwa ilihali uwezo wao mdogo, chama na polisi ndo inawalinda, sasa makonda elimu yenyewe Tata, jina halieleweki Makonda au Bashite eti nae ni mwanasiasa mkomavu Tanzania.

Lissu anaweza kuwa na Mapungufu yake kama binadamu lakini apple to apple comparison na Makonda ni kumshushia heshima Lissu, Lissu ni habari nyingine. Hebu mpeni hata mkataba mmoja Makonda ambao serikali wameingia atusaidie kutuelezea sisi walala hoi uzuri na ubaya wa mkataba huo.

Kama amekomaa kisiasa si aikosoe serikali yake au mwenye kiti wake alieacha watu wake wakifa yeye kaenda kula bata Brazil, ndugu zangu siasa au mwana upinzani Tanzania sio rahisi kama tunavyo dhani, ni kazi wanaifanya kwa mazingira magumu na ya kujitoa.
 
Sio Kwa ubaya Wala upendeleo niwe muwazi ,Lisu ni mwnasiasa ila zaidi ni Mwanaharakati ,mpenda haki na muwazi,

Makonda ni mwanasiasa aliyeiva,anao uwezo wa ku manipulate watu, na ushawishi wa kisiasa anao,tangu akiwa mkuu wa wilaya kinondoni,mkuu wa mkoa DSM,mwenezi Na Sasa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…