Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Disemba jijini Arusha hata wakisema ni uchawi poa tu

Prayer starts where human capaity ends. Waafrika tuna nakisi kubwa ya uelewa katika kila nyanja. Ndio maana suluhisho la matatizo yetu karibu yote ni kutazama juu na kuomba. Wenzetu wanawekeza katika tafiti na teknolojia hivyo kuweza kutatua changamoto zinzowakabili kwa ufanisi mkubwa. Sisi ni maombi! Na hata kwa wanaoamini, si kuna kile kitu kinaitwa mpango wa Mungu (Divine Plan) ambapo tunaaminishwa kuwa kila jambo linatendeka kwa kufuata mpango wa mungu? Vipi kama hali inayotukabili inatokana na hiyo divine plan? Tunapoomba/sali tunataka Mungu afanye marekebisho kwenye mpango wake? Kama ndivyo huo mpango una maana gani kama anaurekebisha kwa kila amuombaye?
 
Huyu BASHITE sijui huwa mungu yupi huyo anayependa kumtaja taja....yaani kama sie aliyepewa TUHUMA za kuzuia haki ya Watu kuishi...UJINGA TU
 
Màma kasema wàkafanye usafi, yeye ànataka kumleta rafiki yake mtume mkuu, dereva wa Yesu, Dr GeorDavie.
 
Hizi ni sanaa kama sanaa nyingine. Huwezi kusimamia maombi ukiwa na mikono michafu iliyojaa dhuluma hadi ya kuiba haki ya kuchagua ya wananchi. Hata tangu zamani Kuhani Mkuu hawezi kuongoza mamombi asipojitakasa kwa dhati ya moyo. Makonda na CCM yake ndo hao hao kila leo wanadhulumu haki ya wananchi ya kuchagua na kudidimiza haki ya kuishi kwawakosoaji wa Serikali.
 
Usikie kwani wewe unakaa huko?
 
Aseme pia amechukua kiasi gani kwa wafanyabiashara kwa mtindo wa "Makonda style" Ili kufanikisha tukio Hilo?
 
Tuombee uchafuzi unaofanyika kwenye chaguzi zetu,wafe wote siku hiyo.
 
Na ndio maana wanakiwa wanafiki nankumtaja Mungu na maombi kila saa. Wanafiki wakubwa hao.
Mungu atakuwa anawachora tuu. Wazee wetu walifanya kazi kubwa sana nchi kupata Uhuru. Badala ya vijana kuwaenzi hata kwa kuwakumbuka imeshindikana.
 
Kumbe ilikua agenda tokea muda, endeleeni kupiga kelele, mwenzenu katumwa na boss wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…