Military Genius
JF-Expert Member
- Mar 3, 2019
- 761
- 1,464
,aisee..[emoji3][emoji3]Hapo kwenye ‘waliokimbia Dar’ alikusudia pia Mzee yule.?
🙏🙏🙏Kwahivyo corona imeisha?
mgonjwa anaugua kwanza ndipo anakwenda kupimwa.
Kuna mtu alikimbilia Dom kwenye mawe sasa akakimbilia chatu anatakiwaà arudi Dar"Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbia Corona Dar warudi haraka kwani kifo hakikimbiwi". Mwisho wa kunukuu!
Hii kauli nimeilewa sana hii maana inawahusu wale wote waliolikimbia Jiji, kisa Corona! Uoga siyo jambo la kujivunia hata kidogo. Dawa ya matatizo ni kuyakabili na siyo kuyakimbia.
In short summaryHerd immunity. Hii project anayoifanya bwana mzee si nzuri ihivyo. 60% waugue ili 40% wapone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine tutasubiri hadi watalaam wa afya watakapotoa taarifa rasmi. Tutaendelea kuchukua tahadhali.Kwahivyo corona imeisha?
If necessary yes. Ni utaratibu wangu wa kufanya full checkup kila mwezi magonjwa yote. Na sii mpaka niumwe. Hii inakupa uhakika na afya yako.mgonjwa anaugua kwanza ndipo anakwenda kupimwa.
wewe unaweza kwenda kupima Kisonono bila daliki zozote!!!!
Lol mkuu ML charge inakunukia.
corona unayo???If necessary yes. Ni utaratibu wangu wa kufanya full checkup kila mwezi magonjwa yote. Na sii mpaka niumwe. Hii inakupa uhakika na afya yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri wa kina "Bia Yetu" watakuelewa? Kwa demonstration hii wao wanaona "mabuzi dume".
mladi kombe linatolewa mengine hayakuhusu.Write your reply...Ile nchi ya kusadikika imeshajulikana, no testing, no information then tushangilie ushindi, mbona hatujaona goli halali likifungwa, yote ni off side