Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Hii picha safi sana! Naongeza picha chini; wakati tauni iliua watu wengi pale Ulaya karne za nyuma wasanii wa huko walichora picha za "Ngoma ya mauti" ("Dance of Death" ) wakijaribu kusema: kifo kinacheka tu , kinatukaribisha tucheza nacho.
1589978879182.png
 
Hivi kwa nini kuna watu hawapendi kusikia Corona inakwisha au haina madhara kama baadhi ya watu wabaya walivyotukadiria juu mauti ya Corona? Akili zako tu..
Tanzania ya Mungu Idumu Milele!
 
Kwa hiyo hata rais naye alikimbia Dar hivyo arudi au siyo? Huyu RC ana nguvu zaidi ya PM na VP
 
Mkuu kama wewe hujaugua shukuru Mungu,ni ajabu unataka kusikia wengine wameugua kadhaa.chunga usije kuwa mmona wao maana huna kinga yoyote.

watu hawana maambukizi kama vile ambavyo wewe huna.
Fact. Ni jambo la kumshukuru sana Mungu.
 
YEHODAYA, Corona is not a hoax .. it is real.
Fear is not real.. but danger is real. Learn to differentiate this two things.
If it was a hoax i beleive the number of peoples we have lost could be 0.
But then again who knows.. the truth..

Sent using Jamii Forums mobile app
To us Tanzanians corona is just a hoax as it has no power over us as a nation on Sunday we are giving it a send off party
 
Atakayemsikiliza huyo kilaza alieshindwa hata kupata D moja form 4 atakuwa mpumbavu.
 
To us Tanzanians corona is just a hoax as it has no power over us as a nation on Sunday we are giving it a send off party
You see now. I am talking about reality.. you are talking about faith.

This two things dont flow together. No disrespect about faith.. but for smart tanzanians overthere and here at home they know faith itself is not
Enough.

Self protection must come with faith.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
You see now. I am talking about reality.. you are talking about faith.
This two things dont flow together.
No disrespect about faith..
Which reality ? To prove that we have corona using those fake Chinese corona check up gadgets?

No corona here.Tanzania has no Corona
 
Which reality ? To prove that we have corona using those fake Chinese corona check up gadgets?

No corona here.Tanzania has no Corona
Reality is corona exists. Reality it is spreading fast...reality is we should take steps and protect ourselves.

Fake chinese gadget issue blame your goverment for buying your so called fake devices.

Presidents once a while he called china as true friends.. well it seems true friends can give you fake devices.. you guys should double check your logistic next time before you trust chinese.

Even though chines are not the only manufactures. We could get full functional quality testing kits from CDC africa, from indonesia, from germany and other 10 countries.

But we choose chinese and it backfired.. india choosed chinese it didnt worked either.

What were we waiting for? We could buy it from another vendor. But noo lets hide in the shadow and hope it will dissapear...

Former late president J.k.Nyerere said " we cannt close our eyes during real situation and hope it will disappear".

Aint that the truth?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Mungu atusaidie, Huu ni ushindi mkubwa kwa wote wanaomwamini YESU.

Yesu alisema ukiwa na imani kama punje ya haradali basi waweza amisha milima, imani ya MAKONDA na MAGUFULI ndiyo YESU amezungumzia, nakwambieni maisha yanarudi kama zamani, piga keleleeeeeee
amina...
 
Kwa hiyo unataka serikali iwe inazurura mabarabarani kama wehu na kusema tukapime? Huo ni wehu. Wewe ni daktari au muuguzi unatafuta posho za kuzurura kupima?

Kinachotakiwa elimu na imetolewa kuwa ukiona dalili hizi wahi hospitali inatosha,mtu akiona dalili za corona aende hospitali au apige namba husika wenyewe waje kumbeba


Ujue kabisa watakaopoteza maisha dhambi mtabeba wenyewe mnaoshabikia pamoja na yule alieruhusu madisco na uchafu wote kufunguliwa
 
Back
Top Bottom