Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatatizo sehemu, jichunguze mkuuMimi sijaugua ndio maana nashawishika na maneno ya Bashite, sijaona ndugu wala jamaa yangu kuugua korona,hata adui yangu.
Leo mtu akilazimisha anataka takwimu, nashindwa kuelewa anataka nani awe ameugua kama yeye ni mzima!!!
Ni kawaida yenu kuona matatizo kwa watu,sijui yenu nani anayachunguza!!!!sio kwamba hamna matatizo.
Hii picha safi sana! Naongeza picha chini; wakati tauni iliua watu wengi pale Ulaya karne za nyuma wasanii wa huko walichora picha za "Ngoma ya mauti" ("Dance of Death" ) wakijaribu kusema: kifo kinacheka tu , kinatukaribisha tucheza nacho.
Fact. Ni jambo la kumshukuru sana Mungu.Mkuu kama wewe hujaugua shukuru Mungu,ni ajabu unataka kusikia wengine wameugua kadhaa.chunga usije kuwa mmona wao maana huna kinga yoyote.
watu hawana maambukizi kama vile ambavyo wewe huna.
To us Tanzanians corona is just a hoax as it has no power over us as a nation on Sunday we are giving it a send off partyYEHODAYA, Corona is not a hoax .. it is real.
Fear is not real.. but danger is real. Learn to differentiate this two things.
If it was a hoax i beleive the number of peoples we have lost could be 0.
But then again who knows.. the truth..
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeeTunakokwenda wataanza kukamata wanaovaa barakoa na wanaoweka maji ya kunawa na watakaokutwa wananawa.
You see now. I am talking about reality.. you are talking about faith.To us Tanzanians corona is just a hoax as it has no power over us as a nation on Sunday we are giving it a send off party
Which reality ? To prove that we have corona using those fake Chinese corona check up gadgets?You see now. I am talking about reality.. you are talking about faith.
This two things dont flow together.
No disrespect about faith..
Yupo manyoni mda huu anarudi
Atakayemsikiliza huyo kilaza alieshindwa hata kupata D moja form 4 atakuwa mpumbavu.
Reality is corona exists. Reality it is spreading fast...reality is we should take steps and protect ourselves.Which reality ? To prove that we have corona using those fake Chinese corona check up gadgets?
No corona here.Tanzania has no Corona
amina...Na Mungu atusaidie, Huu ni ushindi mkubwa kwa wote wanaomwamini YESU.
Yesu alisema ukiwa na imani kama punje ya haradali basi waweza amisha milima, imani ya MAKONDA na MAGUFULI ndiyo YESU amezungumzia, nakwambieni maisha yanarudi kama zamani, piga keleleeeeeee
Kwa hiyo unataka serikali iwe inazurura mabarabarani kama wehu na kusema tukapime? Huo ni wehu. Wewe ni daktari au muuguzi unatafuta posho za kuzurura kupima?
Kinachotakiwa elimu na imetolewa kuwa ukiona dalili hizi wahi hospitali inatosha,mtu akiona dalili za corona aende hospitali au apige namba husika wenyewe waje kumbeba
Takwimu za Malaria unazijuwa?Tutaona na kuyasikia mengi mwaka huu, tumeishinda corona wakati hatujui takwimu ziko vipi
Takwimu za Malaria unazijuwa?