Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
First mm sio bahariaCalm down calm down baharia wa nchi kavu.
Lugha za watu zina taratibu zake.
Umekosea rekebisha (edit) maisha yaende mbele au nyamaza kama huwezi kurekebisha.
Unaponyanyua kifua juu kana kwamba umepatia sasa hapo unajidhalilisha baharia.
Haya bhana. Naomba nikusahihishe naona kwa bahati mbaya utakua hujui. To err is human.First mm sio baharia
Seconf i know nimekosea.. thats why nikaandika upya ili uelewe.
Third sija panic.. sipanick over vitu vidogo kama hiv.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe ziko wapi billioni 8 ulizowaibia wabunge kwenye fixed akaunti??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nachukua tahadhari. Wewe endelea kupuyanga ukiamini maneno ya wanasiasaWakati wanatangaza ongezeko kila siku ulikua unaamini?
Mkuu wa Mkoa maarufu kasema watu wajiachie... wapige vigelegele na kupiga kelele...Ndio maana akasema changanya na za kwako. Hii statement wabongo sijui kama wameisikiliza.
Ninavyojua watu watajiachia moja kwa moja halaf itakula kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ww mwangalie kama na yeye atajumuika kwenye kujiachia.Mkuu wa Mkoa maarufu kasema watu wajiachie... wapige vigelegele na kupiga kelele...
Ongeza sauti ...Hapo kwenye βwaliokimbia Darβ alikusudia pia Mzee yule.?
Mtego wa panya... chambo lazima kiwepo...
Amaa kweli mchana inzi, usiku 'umbu'!!!
Umeandika vema kabisa! Mtaji mkubwa CCM ni ujinga/Ujiha/upumbau wa 99.999% Tanzanians! Hiyo 0.1% ndio akna say Zito wanaojitambua!Mtanzania ni mtu wa namna ya kipekee duniani. Kama masihara corona imechemka yenyewe. Siwezi kuamini kuwa maombi yamefanya kazi, wala Siwezi kuamini kuwa juhudi za wizara ya afya zimefanya kazi. Ni kinga ya asili ndio iliyofanya kazi. Juhudi tulizochukua huku Africa na Tanzania juu ya COVID 19 ni kiduchu sana...