Kupanga ni kuchagua! Bado nasisitiza chukua tahadhari.Kwa sehemu hiyo inawezekana lakini kwa sehemu pia inategemeana na maamuzi ya hao wanasiasa...
Mwambie Makonda amesema arudi Dar atoke huko porini vita ya corona tumeishinda.Rais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona.
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya.
Kujua takwimu sio ndio kuishinda Corona bali ni kifuata taratibu na maelekezo ya serikali ili kuepukana na Corona, ivi takwimu hujui kama zinaleta hofu pia Mana watu watazidi kuogopa na kushindwa kuendesha shughuli za maendeleo ya familia na taifa,Mungu ibariki Tanzania
Ukiona hivyo ujue hali si shwari ndio maana hawataki kutoa takwimu.Hofu hiyo kwa hapa bongo tu?
Kwa hiyo mataifa mengine wanaotoa takwimu wao hawajaliona hilo?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo KABUDI ameongea na beberuRais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona.
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya.