Mayunga Hungwi
Member
- May 6, 2020
- 19
- 11
Mmh, asee haya sijui ni nini lakini sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumapili Eid El FitriKwanini JUMAPILI?
[emoji3]Kwahivyo corona imeisha?
Takwimu tunatakaRais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona.
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya.
DahMkuu kama wewe hujaugua shukuru Mungu,ni ajabu unataka kusikia wengine wameugua kadhaa.chunga usije kuwa mmona wao maana huna kinga yoyote.
watu hawana maambukizi kama vile ambavyo wewe huna.
Makonda amesema walioikimbia DSM akiwemo Rais wa Nchi, warudi mjini. Mjini kumenogaRais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona.
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya.
WoyooooooooooOyooooooooooooooooooo BASHITE na JIWE wameimaliza CORONA19 Piga Keleleleeeeeeeeee!!!
NdioKwahivyo corona imeisha?
Hahaaaaaaa............. 😆 😛Tunakokwenda wataanza kukamata wanaovaa barakoa na wanaoweka maji ya kunawa na watakaokutwa wananawa.
Lini Mkuubali ipo siku
Takwimu hazituponyi hahahaha...TUTAONA NA KUYASIKIA MENGI MWAKA HUU, TUMEISHINDA CORONA WAKATI HATUJUI TAKWIMU ZIKO VIPI